Bora Fisadi Aliyeleta Unafuu wa Maisha kwa Watu Kuliko Mwadilifu Ambaye Kila Siku Watu Wanalia Ugumu wa Maisha.

Bora Fisadi Aliyeleta Unafuu wa Maisha kwa Watu Kuliko Mwadilifu Ambaye Kila Siku Watu Wanalia Ugumu wa Maisha.

Mbona sasa hivi mafisadi yameshika hatamu ndio maisha yanazidi kuwa magumu kila kukicha.

Wezi wanajipimia mpaka aibu.
 
Huyu Mama ndio kaitoa sukari 1600 kilo hadi 4500,kaitoa petrol 1800 wakati wa Magufuli hadi 3,400 Leo hii,huyu Mama kautoa Mchele 1,200 kilo wakati wa Magufuli hadi 4,000 kilo hivi Leo,huyu Mama kayatoa maharage 1,200 kilo hadi 2,600 kilo ,huyu Mama kaitoa nyama 6,000 kilo hadi 10,000 huyu Mama kaitoa Dola 2,290 wakati wa Magufuli hadi 2,800 leo.
Yaani, acha tu ndugu yangu.
Tulipata hasara taslimu.
 
Mbona sasa hivi mafisadi yameshika hatamu ndio maisha yanazidi kuwa magumu kila kukicha.

Wezi wanajipimia mpaka aibu.
Eti wanasema, kwa sasa serikali iko mikononi mwa "waadilifu" Mkuu!
 
Back
Top Bottom