TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Sio magu?Ubora ulikuwa kwa Kikwete kiukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio magu?Ubora ulikuwa kwa Kikwete kiukweli
Wewe ndo zuzu,Magufuli ndiye aliyeharibu nchi, ingawa wananchi wenyewe ni mazuzu wanamwona ni mungu wao.
Yaani, acha tu ndugu yangu.Huyu Mama ndio kaitoa sukari 1600 kilo hadi 4500,kaitoa petrol 1800 wakati wa Magufuli hadi 3,400 Leo hii,huyu Mama kautoa Mchele 1,200 kilo wakati wa Magufuli hadi 4,000 kilo hivi Leo,huyu Mama kayatoa maharage 1,200 kilo hadi 2,600 kilo ,huyu Mama kaitoa nyama 6,000 kilo hadi 10,000 huyu Mama kaitoa Dola 2,290 wakati wa Magufuli hadi 2,800 leo.
Eti wanasema, kwa sasa serikali iko mikononi mwa "waadilifu" Mkuu!Mbona sasa hivi mafisadi yameshika hatamu ndio maisha yanazidi kuwa magumu kila kukicha.
Wezi wanajipimia mpaka aibu.
HapanaSio magu?
Kwaiyo hawa waliokuwepo hawawezi kujenga tuendelee kumlaumu Magu sio?Magufuli ndiye aliyeharibu nchi, ingawa wananchi wenyewe ni mazuzu wanamwona ni mungu wao.
Siyo kwamba wewe ndo zuzu?Magufuli ndiye aliyeharibu nchi, ingawa wananchi wenyewe ni mazuzu wanamwona ni mungu wao.