Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Asee wanaJF people's Power na kazi iendelee kuna mkanganyiko hapa

Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa
1.Mwanamke mwenye mtoto(karibu la mume wake umeliona🤣)

2.Mwanamke aliyekuzidi umri

3.Mwanamke aliyekuzidi elimu

4. Mwanamke aliyekuzidi pesa

NB. Ni mwenye sifa moja(sio kwamba anasifa zote hizo)
Yupi bora??
 
Namba moja iedit mkuu
 
Oa anayekupenda kwa dhati
 
Oa Mwanamke mwenye Shepu wewe
 
Oa mwanamke anayejiheshimu tu hata akiwa na sifa hizo nyingine za juu.
 
Naona umeanza na People's power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…