Asee wanaJF people's Power na kazi iendelee kuna mkanganyiko hapa
Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa
1.Mwanamke mwenye mtoto(karibu la mume wake umelionaš¤£)
2.Mwanamke aliyekuzidi umri
3.Mwanamke aliyekuzidi elimu
4. Mwanamke aliyekuzidi pesa
NB. Ni mwenye sifa moja(sio kwamba anasifa zote hizo)
Yupi bora??