Bora kuoa single mother

Bora kuoa single mother

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakulu

Nyie ambao mko na interest ya kuoa ni Bora kuoa single mother kuliko Hawa ambao Bado hawana watoto au mtoto hata mmjo..

Kuoa single mother inakupa uhakika kuwa shamba mbalo unaenda kupanda mbegu Lina rutuba ya kutosha Kwa kuzalisha mazao nadhani hapo tumeelewana, maana tofauti na hiyo ni sawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia.. unakuwa hauna uhakika kama huyo mke anazaa au tasa kwasababu vitoto vya siku vina bwiya sana P2 na kutoa mimba hupelekea kupoteza uwezo wa kuzaa..

Unaingia ndoani unakuta mke wako hazai, hapo ndio kisanga kinapo Anza, Labda kama wewe mwanaume unakipengele .

Tena hii iwe vice versa hata mwanamke aolewe na mwanaume ambae teyari ana mtoto..

Ambao hawana uwezo wa kuzaa wanaweza ku Adopt watoto..

NB
Kugongewa kupo pale pale while other factors remain constant
 
Mkipendana hakuna shida ila unaweza sema atakuzalia kumbe alishamaliza Hilo suala Kila siku atakuwa anakufool hadi uzeeke
 
Hao wana sumu za ndani kwa ndani usijaribu kunasa swali la wataolewa na nani wala usiulize maana ule utamu wa bao lililozalisha mtoto wake ni utamu usiosahaulika maisha yake yote
 
Baba mtoto akirudisha majeshi muda wowote anakita kambi na kuanza kukibumbua kitumbua na ukiuliza maswali ya kiduanzi majibu utayopewa ni ya kiduanzi pia utaamua wewe unafanya nini mpige collaboration na baba mtoto au ufanyeje
 
Hicho kiwanja kina mgogoro na ushaambiwa simamisha ujenzi au bomoa sasa wewe endelea na ujenzi siku pakifika tingatinga usianze kulia peke yako
 
Wakulu

Nyie ambao mko na interest ya kuoa ni Bora kuoa single mother kuliko Hawa ambao Bado hawana watoto au mtoto hata mmjo..

Kuoa single mother inakupa uhakika kuwa shamba mbalo unaenda kupanda mbegu Lina rutuba ya kutosha Kwa kuzalisha mazao nadhani hapo tumeelewana, maana tofauti na hiyo ni sawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia.. unakuwa hauna uhakika kama huyo mke anazaa au tasa kwasababu vitoto vya siku vina bwiya sana P2 na kutoa mimba hupelekea kupoteza uwezo wa kuzaa..

Unaingia ndoani unakuta mke wako hazai, hapo ndio kisanga kinapo Anza, Labda kama wewe mwanaume unakipengele .

Tena hii iwe vice versa hata mwanamke aolewe na mwanaume ambae teyari ana mtoto..

Ambao hawana uwezo wa kuzaa wanaweza ku Adopt watoto..

NB
Kugongewa kupo pale pale while other factors remain constant
Ukioa wewe inatosha
 
Back
Top Bottom