The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Wakulu
Nyie ambao mko na interest ya kuoa ni Bora kuoa single mother kuliko Hawa ambao Bado hawana watoto au mtoto hata mmjo..
Kuoa single mother inakupa uhakika kuwa shamba mbalo unaenda kupanda mbegu Lina rutuba ya kutosha Kwa kuzalisha mazao nadhani hapo tumeelewana, maana tofauti na hiyo ni sawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia.. unakuwa hauna uhakika kama huyo mke anazaa au tasa kwasababu vitoto vya siku vina bwiya sana P2 na kutoa mimba hupelekea kupoteza uwezo wa kuzaa..
Unaingia ndoani unakuta mke wako hazai, hapo ndio kisanga kinapo Anza, Labda kama wewe mwanaume unakipengele .
Tena hii iwe vice versa hata mwanamke aolewe na mwanaume ambae teyari ana mtoto..
Ambao hawana uwezo wa kuzaa wanaweza ku Adopt watoto..
NB
Kugongewa kupo pale pale while other factors remain constant