Bora kuoa single mother

Bora kuoa single mother

Baba mtoto akirudisha majeshi muda wowote anakita kambi na kuanza kukibumbua kitumbua na ukiuliza maswali ya kiduanzi majibu utayopewa ni ya kiduanzi pia utaamua wewe unafanya nini mpige collaboration na baba mtoto au ufanyeje
Na wewe unajibu kiduanzi shida iko wapi?
 
zerominus10 hutaki kuwasikia kabisa yaani
Hao viumbe wanafichaga makucha yao pale mwanzo tu just imagine mtoto kafichwa baba yake miaka 40 mpaka ameolewa ndio mama tena kwa aibu ikabidi amwambie mwanae kwamba baba yako wa kweli alienipiga mimba ni yule pale Mzee fulani huyu Mzee fulani sio baba yako
 
Naona penzi la single mom limeshakuteka, mi nakuunga mkono ila zingatia vigezo hapo chini;

1.Hakikisha ulihudhuria msibani na ukafika mpaka kaburini na pengine ulitoa mpaka mchango wa msiba wa jamaa mwenye mtoto/watoto.

2.Kama hukuhudhuria msibani, uonyeshwe kaburi, ufukue uchukue sample ukapime DNA, thibitisha kama jamaa kweli kafa.

Kama Lijamaa/Mijamaa iliyomzalisha iko hai, Ukimuoa utakua Ms3nq3 Tu.
 
Na wewe unajiuliza kiduanzi shida iko wapi?
Hao kuna muda wanakuvutia tu kisha wanaanimzisha pigo zao za kiduanzi mara baba mtoto kasema anataka kumsomesha mtoto wake tukamwamishe shule ataanza kumlipia international school atoke kayumba yaan baba mtoto karudi na maokoto na yeye anakirudisha kitumbua oyaaa
 
Hivi kuna mwanaume anaoa mke ndiyo anazindua yeye? Kwa usawa huu hakuna tusidanganyane!
Tunazungumzia unaanza mechi unaingia mchezoni tayari ushafungwa goli moja au mbili elewa hapo tofautisha mwanamke anaetombwa na hana mtoto na mwanamke anaetombwa na ana mtoto/watoto kazalishwa
 
Hao kuna muda wanakuvutia tu kisha wanaanimzisha pigo zao za kiduanzi mara baba mtoto kasema anataka kumsomesha mtoto wake tukamwamishe shule ataanza kumlipia international school atoke kayumba yaan baba mtoto karudi na maokoto na yeye anakirudisha kitumbua oyaaa
Mkuu unatimua kwa makofi na makonde!
 
Tunazungumzia unaanza mechi unaingia mchezoni tayari ushafungwa goli moja au mbili elewa hapo tofautisha mwanamke anaetombwa na hana mtoto na mwanamke anaetombwa na ana mtoto/watoto kazalishwa
Ni yale yale tu mkuu! Kugongwa na kama mvua inanyesha kote kote! Kila mtu aringie alichojaaliwa!
 
Wahuni mnapinga kuoa single mother, utakuta na wewe una watoto nje , Kuna mwanamke ulimfanya single mother.. na Bado utaki kuoa single mother..

Unaweza ukaoa single mother lakini usikae na mtoto wake ..

Kama unaogopa kutombewa mbona na wewe utakuwa unatomba nje ..
 
Hii ishu ya single moms huwa tunaigeneralize sana.
Inafaa kumchunguza mtu mwenyewe kabla hujaamua kumuoa.
Wengine tuna experience mbaya sana na single moms, lakini mitaani Kuna wana wamewaoa na wanaishi tu vizuri miaka nenda-rudi.
 
Hao viumbe wanafichaga makucha yao pale mwanzo tu just imagine mtoto kafichwa baba yake miaka 40 mpaka ameolewa ndio mama tena kwa aibu ikabidi amwambie mwanae kwamba baba yako wa kweli alienipiga mimba ni yule pale Mzee fulani huyu Mzee fulani sio baba yako
We chalii weka comment moja, unaweka comments kibao kama unataka kufa
 
Mwanzo ni km malaika fulani ila muda utafika ndio utaelewa kwanini mwanaume mwenzio aliemweka mimba aliingia mitini
 
Wanakuaga wapole sana mwanzo mwanzo pale penzi linapokua jipya jipya baada ya hapo kuna muda itafika ndio utaelewa kwanini aliemwaga mwanzo na kuondoka anaonekana alikua na akili zaidi kuliko wewe kabla ya yote ulizia lilipochimbwa kaburi
 
Back
Top Bottom