Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Na wewe unajibu kiduanzi shida iko wapi?Baba mtoto akirudisha majeshi muda wowote anakita kambi na kuanza kukibumbua kitumbua na ukiuliza maswali ya kiduanzi majibu utayopewa ni ya kiduanzi pia utaamua wewe unafanya nini mpige collaboration na baba mtoto au ufanyeje