Bora kuwa huru ukiendesha bodaboda Tanzania kuliko kuwa mfagia vyoo wa Canada

Lema hoyeeeeeee!
 
Usidharau Kazi za Watu angalia Kazi halali inayoleta kipato ili kujikimu kimaisha, dharau mtu anaeiba au mvivu au anaeuza mwili apate mkate
 
Basi msiwa treat bodaboda kama wafanyabiashara wa magendo

Ova
 
Na matumizi je
 
Mijadala kama hii inashusha hadhi ya Jamii Forums na Haina mchango wowote kwa jamii. Ni vyema ikaepukwa. Leta issues nzito za wanaNchi.
 
Huyo mfagia vyoo wa Canada anatengeneza hata mara 10 ya mshahara wa mfanyakazi wa serikali ya Samia.
Haya mane o yako yamechelewa ingekuwa wakati ule SUKUMA GANG wanatrend ungepata angalau chibuku kubwa
 
Singeku ya Sabaya imeishiaga wapi? Kutoka umeshindikana?! Naona umehamisha mahaba Kwa Lema sasa
 
Ulivyo chizi umekalia ubea, Lema amepata capital ya 3B kuanzisha usafiri wa anga, 3B hata muuzwe ukoo wenu wote hamuwezi kufikia hicho kiasi
Siungi mkono hoja ya mtoa mada ila hayo ya Lema kukunua usafiri wa Anga, nayo ni mapya?
Hivi unajua bei ya ndege? au labda una ongelea Mabasi ya kwenda Dar?
Hiyo hela uliyotaja inaweza kuleta Yutong 5 au Scania Marcopolo 3
 
Watu wa akili yako ni wa kupuuzwa sna

Ni vibaraka wa viongozi wa ccm

Mmekua na akili na mtazamo matope
 
Mleta uzi labda tukuulize ukipewa choice ya kupiga bodaboda bongo au kuingia pale Toronto Canada na kupewa full kazi ya kufanya usafi, utachagua nini? au badilisha uzi uweke kwenye polls tuone watu wangapi watachagua bodaboda au Canada, kwa kuanza mimi nachagua kufanya kazi ya usafi Toronto Canada...tuendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…