Huku anayeosha vyombo tu analipwa dollar 20 kwa saa moja, zidisha masaa nane kwa siku halafu jiulize kwa mwezi anakunja sh ngapi na hapo bado ana benefits kibao kutoka kwa mwajiri wake na serikali ya canada.. sitaki kukwambia nafanya kazi gani hapa canada ila nakunja dola 52 kwa saa sasa jipigie hesabu ... kabla hujaaandika jambo tafuta taarifa zake kwanza.. hiki ulichoandika inadhihirisha wazi kuwa Tanzania ina wajinga wengi sana hata kama elimu wanazo nashauri badilisheni zile rangi za benderaa..