Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Utanishtua tuingie wote TorontoMleta uzi labda tukuulize ukipewa choice ya kupiga bodaboda bongo au kuingia pale Toronto Canada na kupewa full kazi ya kufanya usafi, utachagua nini? au badilisha uzi uweke kwenye polls tuone watu wangapi watachagua bodaboda au Canada, kwa kuanza mimi nachagua kufanya kazi ya usafi Toronto Canada...tuendelee