Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi

Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi

Emma.

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
19,932
Reaction score
5,563
Nimejifunza mambo mengi sana baada ya kunusurika kwenda jela kwa sababu ya kuwa na uhusiano na mwanafunzi ambaye yupo chuo, japokuwa wanafunzi wengi wa chuo wanajitambua lakini siyo wote.

Bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu kuliko mwanafunzi.Wapo wataoona ni utani lakini ni ukweli ambao umetokea mwanafunzi ni sumu kali bora mke wa mtu.
 
Mkuu cku ukikumbana na timbwili la kufumaniwa na mke wa mtu tunaomba urudi tena hapa uje utupe tathmini kati ya mwanafunzi na my wife wa mtu.
Duh bora mke wa mtu mtamaliza kuliko mwanafunzi
 
Mwanafuzi ni wa Primary na Secondary tu hakuna mwanafunzi wa chuo ila kuna Mwanachuo!

Ukishikiliwa.bango eti umetembea na mwanachuo basi labda awe chini ya 18,tofauti na hapo ni uonevu ambao hutakiwi kuukubali!
Hata hivyo mwanafunzi ni majanga ukikutwa nae
 
Labda nkuambia kitu kimoja kama ntakuwa nakosea utanisahisha ukimatwa na mwanafunzi yeyote au chuo au secondary au primary .umri hata akiwa miaka 25 bado utakuwa na hatia
 
Hahaaaa,, mie mwanafunzi akiwa chini ya olevel ndio naogopa, wengine unapitia tuu ila uwe makini kidogo ila kwa mke wa mtu hata kwa shoka bado hujanishawishi.

Mimi kwa sasa naogopa wote.
 
so kutinduliwa na midume ni bora kuliko jela ya mwanafunzi, haya tumekusoma

Umeongea ukweli duh jela ni nouma kule hakufai kabisa hukumu miaka 30
 
Back
Top Bottom