Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
twalimmenye na lori,twalimmenye na loli..tukwenda tosa tukulila...
nakumbuka hiyo nyimbo nilikuwa naimba kwa masikitiko sana baada ya rafiki angu kuuliwa kwa kutembea na mke wa mtu...mke wa mtu usijaribu mkuu..bora jela utaenda utarudi..ila ukienda futi sita ardhini hurudi