Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa,, mie mwanafunzi akiwa chini ya olevel ndio naogopa, wengine unapitia tuu ila uwe makini kidogo ila kwa mke wa mtu hata kwa shoka bado hujanishawishi.
Duh bora mke wa mtu mtamaliza kuliko mwanafunzi
Je akiwa anasoma ukikamatwa naye ana umri wa miaka zaidi ya 25 inakuwaje?
Asante sana kwa elimu ni wachache sana wenye uelewa wa sheria kwenye hilo kama wewe ukikamatwa na msichana umri umezidi miaka 18 hata akiwa mwanafunzi hakuna kesi?Katika sheria zetu hapa Tanzania tunaamini hakuna mwanafunzi wa secondary mwenye miaka zaidi ya 25 labda awe wa QT na hata hivyo sheria inamruhusu kuolewa achilia mbali kuzini!utashitakiwa endapo utakuwa umembaka au ni mgonjwa wa akili!
Ukikamatwa na hiyo kesi jua unaonewa na kubali kupelekwa mahakamani masuala ya kumalizia polisibau kutoa pesa ili kufuta Case usikubali.
Mkuu una uzoefu nini mbona umeelezea vizuri sanaAll in all,pesa ndo tatizo vyote hvyo vinatulia ukiwa na pesa.student una gegeda mpaka mimba na jera hukwendi,mke wa mtu anamchukua mpaka hotel kubwa kama serena au unakwenda kumgongea mkoa mwngne au nchi nyngne.game over
Nimeishia kucheka ila ushauri ntauzingatia
Asante sana kwa elimu ni wachache sana wenye uelewa wa sheria kwenye hilo kama wewe ukikamatwa na msichana umri umezidi miaka 18 hata akiwa mwanafunzi hakuna kesi?
kwa hiyo wanaume wote waliofumaniwa na wake za watu wameshakufa?
Hapo sasa ndo nimekuelewa asante kwa elimu yako bila kupata matatizo huwezi kujifunza.Daah!yaani hapa ninakazi ya kukueleza mwanafunzi ni nani kisheria!!!kiufupi ni hivi kwa kulingana na swali lako;
ukikamatwa na mwanafunzi wa aina hiyo na miaka hiyo utashitakiwa kwa kumrubuni/kufanya mapenz na mwanafunz ambapo inaamini umemlaghai ila ni lazima awe mwanafunzi kwa mfumo wa mitaala ya elimu kisheria kama ilivyobainishwa katika vifungu husika na punishment ipo.
Siyo wote wanaliwa mkuu wengine waelewaYaaaani kwa wazo hilo utakuwa umeficha chapati kwenye chamber ya choo...! Bora popo kuliko mke wa mtu sikuhiz ukila mke wa mtu nawe unaliwa and no mercy wala useme sikujua kama ni mke wa mtu in law tunasema "ignorancia juris non excusant" .