Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
- Thread starter
- #41
miss chagga njoo huku unitetee mtani
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wanaume wote waliofumaniwa na wake za watu wameshakufa?
Kinyumba kivipi mkuu?
Asimilia kubwa wapo sero
Kwa utafiti wangu asilimia kubwa waliofumaniwa na wake za watu wamebaki salama kuliko waliofuniwa na wanafunzi wengi wao wameishia pabaya sana asante kwa ushauri wako.OK
Asilimia ndogo ya waliofumaniwa na wake za watu wameuwawa.
So ktk makundi haya unaweza kuwa kundi lolote ..asilimia ndogo doesn't mean zero...so unaweza kuwa kati ya asilimia ndogo..choice is yours.
My point is ,uliposema bora kufumaniwa na mke wa mtu kuliko mwanafunzi mimi sioni ubora ..naona hatari kubwa.
Mbona tunatishiana mkuu
Labda nkuambia kitu kimoja kama ntakuwa nakosea utanisahisha ukimatwa na mwanafunzi yeyote au chuo au secondary au primary .umri hata akiwa miaka 25 bado utakuwa na hatia
Hakuna kitu kama hicho mkuu Emma!!acha woga wa ajabu!hapa naongea kwa uhakika wa sheria sio kwamba nabahatisha ninachokisema!!
Mwanamke anamiaka 25 na ni mwanachuo anaruhusiwa kuolewa kisheria!kosa litakuja endapo utakuwa umembaka!!!lakini kama kuna makubaliano baina yenu wawili hakuna sheria inayoweza ikakufunga.Sura ya 16K/A Ya mwenendo wa makosa ya jinai hakuna hicho kifungu chenye Punishment ya hivyo ndugu yangu.
Na ukikamatwa kwa kosa la kutembea na mwanachuo wa umri huo basi komaa upelekwe mahakamni ukaone maajabu ya Law.
Kwa mwanafunzi under 18 of age hata kama mkikubaliana utakuwa na kosa la kujibu ukikamatwa nae na Punishment ipo.
Pole sana hao wanafunzi wa chuo wana njaa sana kama mchwa wanapenda starehe huku mifuko imetoboka
pia wengi wao ni vya wote chupi nje nje