Bora LISSU anyongwe kuliko samia Kuitwa Mahakamani

Heche

Member
Joined
Dec 10, 2025
Posts
78
Reaction score
205
Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita.
Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita.

Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini Lissu Anyongwe tu. Sababu kama alishindwa kufia gizani atauawa hadharani au Atafia gerezani..
Kwenye nyakati ngumu sana Ata manabii walibaki pekeyao. Wakati wa uzinzi na Zinaa Rutu alisimama pekeyake na Mungu akashusha moto Umsaidie.
Kuna wakati mtume alibaki pakee pangoni na watu wanaomtii na Mungu alituma buibui aakamsaidia.
Yesu alipobaki pekee na hadi walipomsulubu. Lakini Alishinda mauti na Sauti yake ni kuu sana. Mafundisho yake ni bora na kilaamtu anafata.
Ilitokea kwa Yusuph, Walitaka aliwe na Simbaa lkn alishinda na akawa mfalme. Ikawa Daniel,

Kwa kuwa Lissu Amechagua kukaa upaande wa haki Basi atashinda. Na Mungu atawapa wanachostaili watesi wake kama alivyompa Farao wakati wa Musa. Kama Mungu alivyosimama na Waisrael Jangwani.
Nani yuko nyuma ya hizi tawala za ssasa za Africa.
 
Si msilisema anawafundisha sheria😂
 
Inakuwaje mtu anaogopa kwenda kutoa ushahidi mahakamani? Ni uwezo mdogo wa kujieleza, au ni ukunguru uliomo ndani yake?
 
Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita.
Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita.

Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini Lissu Anyongwe tu. Sababu kama alishindwa kufia gizani atauawa hadharani au Atafia gerezani..
Kwenye nyakati ngumu sana Ata manabii walibaki pekeyao. Wakati wa uzinzi na Zinaa Rutu alisimama pekeyake na Mungu akashusha moto Umsaidie.
Kuna wakati mtume alibaki pakee pangoni na watu wanaomtii na Mungu alituma buibui aakamsaidia.
Yesu alipobaki pekee na hadi walipomsulubu. Lakini Alishinda mauti na Sauti yake ni kuu sana. Mafundisho yake ni bora na kilaamtu anafata.
Ilitokea kwa Yusuph, Walitaka aliwe na Simbaa lkn alishinda na akawa mfalme. Ikawa Daniel,

Kwa kuwa Lissu Amechagua kukaa upaande wa haki Basi atashinda. Na Mungu atawapa wanachostaili watesi wake kama alivyompa Farao wakati wa Musa. Kama Mungu alivyosimama na Waisrael Jangwani.
Nani yuko nyuma ya hizi tawala za ssasa za Africa.
Endeleeni na madua yenu hayo, mwisho mtaahuhudia ananyongwa kihalali kabisa!
 
Si msilisema anawafundisha sheria😂
Jibu unalo ni kweli anawafundisha sheria na amewavua nguo hasa , hilo la maamuzi ya jaji ni la maelekezo na sio la kisheria
 
Si msilisema anawafundisha sheria😂
Kwa hivyo katika shauri la haki kabisa mbele ya baraza la watu wanao mtii Mungu, unafikiri pale ana kesi ya kujibu?
Bazara ambalo halipokei maagizo ya mtu wala halina hofu ya binadamu mwanzao. Linafuata sheria na haki tu.
 
Baadhi ya watu mlikua mnanshangilia sasa hivi mnaanza milio
 
Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita.
Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita.

Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini Lissu Anyongwe tu. Sababu kama alishindwa kufia gizani atauawa hadharani au Atafia gerezani..
Kwenye nyakati ngumu sana Ata manabii walibaki pekeyao. Wakati wa uzinzi na Zinaa Rutu alisimama pekeyake na Mungu akashusha moto Umsaidie.
Kuna wakati mtume alibaki pakee pangoni na watu wanaomtii na Mungu alituma buibui aakamsaidia.
Yesu alipobaki pekee na hadi walipomsulubu. Lakini Alishinda mauti na Sauti yake ni kuu sana. Mafundisho yake ni bora na kilaamtu anafata.
Ilitokea kwa Yusuph, Walitaka aliwe na Simbaa lkn alishinda na akawa mfalme. Ikawa Daniel,

Kwa kuwa Lissu Amechagua kukaa upaande wa haki Basi atashinda. Na Mungu atawapa wanachostaili watesi wake kama alivyompa Farao wakati wa Musa. Kama Mungu alivyosimama na Waisrael Jangwani.
Nani yuko nyuma ya hizi tawala za ssasa za Africa.
Umeandika porojo tu
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 9
Back
Top Bottom