Endeleeni na madua yenu hayo, mwisho mtaahuhudia ananyongwa kihalali kabisa!Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita.
Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita.
Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini Lissu Anyongwe tu. Sababu kama alishindwa kufia gizani atauawa hadharani au Atafia gerezani..
Kwenye nyakati ngumu sana Ata manabii walibaki pekeyao. Wakati wa uzinzi na Zinaa Rutu alisimama pekeyake na Mungu akashusha moto Umsaidie.
Kuna wakati mtume alibaki pakee pangoni na watu wanaomtii na Mungu alituma buibui aakamsaidia.
Yesu alipobaki pekee na hadi walipomsulubu. Lakini Alishinda mauti na Sauti yake ni kuu sana. Mafundisho yake ni bora na kilaamtu anafata.
Ilitokea kwa Yusuph, Walitaka aliwe na Simbaa lkn alishinda na akawa mfalme. Ikawa Daniel,
Kwa kuwa Lissu Amechagua kukaa upaande wa haki Basi atashinda. Na Mungu atawapa wanachostaili watesi wake kama alivyompa Farao wakati wa Musa. Kama Mungu alivyosimama na Waisrael Jangwani.
Nani yuko nyuma ya hizi tawala za ssasa za Africa.
Jibu unalo ni kweli anawafundisha sheria na amewavua nguo hasa , hilo la maamuzi ya jaji ni la maelekezo na sio la kisheriaSi msilisema anawafundisha sheria😂
Kwa hivyo katika shauri la haki kabisa mbele ya baraza la watu wanao mtii Mungu, unafikiri pale ana kesi ya kujibu?Si msilisema anawafundisha sheria😂
Umeandika porojo tuHilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita.
Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita.
Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini Lissu Anyongwe tu. Sababu kama alishindwa kufia gizani atauawa hadharani au Atafia gerezani..
Kwenye nyakati ngumu sana Ata manabii walibaki pekeyao. Wakati wa uzinzi na Zinaa Rutu alisimama pekeyake na Mungu akashusha moto Umsaidie.
Kuna wakati mtume alibaki pakee pangoni na watu wanaomtii na Mungu alituma buibui aakamsaidia.
Yesu alipobaki pekee na hadi walipomsulubu. Lakini Alishinda mauti na Sauti yake ni kuu sana. Mafundisho yake ni bora na kilaamtu anafata.
Ilitokea kwa Yusuph, Walitaka aliwe na Simbaa lkn alishinda na akawa mfalme. Ikawa Daniel,
Kwa kuwa Lissu Amechagua kukaa upaande wa haki Basi atashinda. Na Mungu atawapa wanachostaili watesi wake kama alivyompa Farao wakati wa Musa. Kama Mungu alivyosimama na Waisrael Jangwani.
Nani yuko nyuma ya hizi tawala za ssasa za Africa.
Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita.
Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita.
Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini Lissu Anyongwe tu. Sababu kama alishindwa kufia gizani atauawa hadharani au Atafia gerezani..
Kwenye nyakati ngumu sana Ata manabii walibaki pekeyao. Wakati wa uzinzi na Zinaa Rutu alisimama pekeyake na Mungu akashusha moto Umsaidie.
Kuna wakati mtume alibaki pakee pangoni na watu wanaomtii na Mungu alituma buibui aakamsaidia.
Yesu alipobaki pekee na hadi walipomsulubu. Lakini Alishinda mauti na Sauti yake ni kuu sana. Mafundisho yake ni bora na kilaamtu anafata.
Ilitokea kwa Yusuph, Walitaka aliwe na Simbaa lkn alishinda na akawa mfalme. Ikawa Daniel,
Kwa kuwa Lissu Amechagua kukaa upaande wa haki Basi atashinda. Na Mungu atawapa wanachostaili watesi wake kama alivyompa Farao wakati wa Musa. Kama Mungu alivyosimama na Waisrael Jangwani.
Nani yuko nyuma ya hizi tawala za ssasa za Africa.
Umewahi kujiuliza, kwa nini ninyi nyote mnaoshabikia uovu, ni watu msio na akili timamu?Endeleeni na madua yenu hayo, mwisho mtaahuhudia ananyongwa kihalali kabisa!
Heri yako wewe mwenye akili isio na uovu kwa maana utauona ufalme wa mbinguni.Umewahi kujiuliza, kwa nini ninyi nyote mnaoshabikia uovu, ni watu msio na akili timamu?
Wote watakubaliwa sio raisiHeri yako wewe mwenye akili isio na uovu kwa maana utauona ufalme wa mbinguni.