Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

Mtapenda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
1,115
Reaction score
2,063
Nimefika dodoma toka juzi
Hawachangamki
Hwaongei
Wala hawacheki

Dodoma sio mji wa kibiashara
Dodoma sio mji uliochangamka
Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi

Dodoma hamna kitu
Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6 usiku unapata seat sehemu maalumu za starehe

Bora Mbeya uje uone kulivyo changamka

Mbeya pazuri
City pub
Mwailubi

Ni raha tupu

Bora mbeya

Niwapongeze kwa nyama choma mpo vizuri ila vingine hamna kitu...

Dodoma haifai kua makao makuu ya nchi wagogo wamelala mnoo

Magufuli pia alikulupuka kujenga eneo lote lile kwaajili ya stand yamebaki magofu tuu sijui ndimo alimokua napigia pesa kwa kampuni yake ya ukandarasi

Eneo la stand la ndugai ni kubwa mnoo lulingana na uhalizia jamaa alifuja pesa saana

images%20(14).jpg


Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
nlchokiona mbeya
1, wachafu na wananch s wastaarabu yan bas zima wanaongea uyu wa mbele anaongea na wa nyuma cm ikpgwa ndio sir zao zote znajulkana mana hawajui kuongea pole pole
2, kitu kinaitwa muda kwa sio shda kukukalsha masaa 3 wao n jambo la kawaida
3,Wako rafu kwenye kila ktu hata uandaaj wa vyakula
4 nlchopenda n chips za buku n mzgo wa maana na nyama kwao bado iko bei ya chin kwaio pale bado n kijiji na apafai kuitwa jiji

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom