Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 1,059
- 3,504
mama huyu Bujibuji Simba Nyamaume si tulkubaliana n wa Msoma huyu[emoji23]Ndaga mwarafyale Bujibuji Simba Nyamaume
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama huyu Bujibuji Simba Nyamaume si tulkubaliana n wa Msoma huyu[emoji23]Ndaga mwarafyale Bujibuji Simba Nyamaume
Kwani wenyeji halisi wa Mbeya ndiyo wamechangamsha na kujenga mji? Si walishakimbilia porini wote!!Dodoma haifai kua makao makuu ya nchi wagogo wamelala
Wanapoagana stand mmoja akiwa kwenye bus msindikizaji chini ataagizia salaam mpaka bus linaondoka na bado atalikimbiza mpaka amalize orodha yake🤣2, kitu kinaitwa muda kwa sio shda kukukalsha masaa 3 wao n jambo la kawaida
Mbeya pamezidi uhovyo. Jiji lina zaidi ya miaka 30 lakini utadhani limetangazwa kuwa jini jana!!!
Jiji ambalo kila mtu ni nabii hadi wamama duh!!!
Wewe jamaa utakuwa Ni Yule msemaji wa Yanga khaaaaJiji ambalo kila mtu ni nabii hadi wamama duh!!!
Mbeya inazidiwa Hadi na iringa kimaendeleo ndo mje mlinganishe na Dodoma kweli??Yes nakuunga mkono 100%,Dodoma wanaiforce tu kuijenga, bila Serikali kuijenga,ingepitwa hata na Katavi, Mbeya ilitengwa kwenye miradi mbalimbali na imejengwa na wana mbeya, ni vile watu wa Mbeya ni wachakarikaji sana si wanaume si wanawake,nenda south,nenda msumbiji nenda Malawi,nenda Botswana,zambia utawakuta wanapambana Sana tu,Mbeya ya Sasa ipo [emoji91]sana tofauti na miaka ile ambapo miji mingi ilikuwa ya kawaida
Mbeya inazidiwa Hadi na iringa kimaendeleo ndo mje mlinganishe na Dodoma kweli??
Yaan mbeya ni Jiji la ovyo Sana kwanza miundombinu yake ya ajabu Sana akija kiongozi yoyote wa serikali jam itakayotengenezwa barabarani sio ya kawaida
Mbeya mzunguko wa pesa hakuna unakuta mtu anakaa mjini ila anamashamba huko milimani ko chakula analima huko milimani , anavuna analeta ndani hakuna kununua chakula na uyo anakaa mjini
Mbeya ni Jiji la ovyo saana sijawai kuona.
Si bora hata Dodoma walau mji wameujenga kwa mpangilio hata wa barabara tu.Dodoma na Mbeya yote ni majiji ya hovyo,
Nchi hii yalitakiwa majiji yawe matatu tu Dar, Mwanza na Arusha
Mbeya mji umejaa nyumba za tope na hazina mpangilio, yaan ukiwa unatokea Songwe airport kuja mjini utashangaa unaingia jijini kweli au.
Mbeya hii hii kwamba now ni yamoto unasema?Yes nakuunga mkono 100%,Dodoma wanaiforce tu kuijenga, bila Serikali kuijenga,ingepitwa hata na Katavi, Mbeya ilitengwa kwenye miradi mbalimbali na imejengwa na wana mbeya, ni vile watu wa Mbeya ni wachakarikaji sana si wanaume si wanawake,nenda south,nenda msumbiji nenda Malawi,nenda Botswana,zambia utawakuta wanapambana Sana tu,Mbeya ya Sasa ipo [emoji91]sana tofauti na miaka ile ambapo miji mingi ilikuwa ya kawaida
Mbeya Kuna makanisa mengi Sana, na hayana ufungamani na madhehebu yoyote. Kila mtu anaanzisha kanisa lake na taratibu zake.Mbeya ndio jiji la hovyo Africa nzima.. Labda wanachoongoza ni manabii na mitume na kila baada ya huduma ya maombi na kufunguliwa.
Wewe tena?? Sijui dodoma walikufanyiaga nn..Dodoma na Mbeya yote ni majiji ya ovyo hakuna wa kumcheka mwenzake.
Ahsante kwa uelewa wako mpana... Dodoma inajengwa na serikali wenyeji wagogo hawakotayari kujenga mkoa waoYes nakuunga mkono 100%,Dodoma wanaiforce tu kuijenga, bila Serikali kuijenga,ingepitwa hata na Katavi, Mbeya ilitengwa kwenye miradi mbalimbali na imejengwa na wana mbeya, ni vile watu wa Mbeya ni wachakarikaji sana si wanaume si wanawake,nenda south,nenda msumbiji nenda Malawi,nenda Botswana,zambia utawakuta wanapambana Sana tu,Mbeya ya Sasa ipo [emoji91]sana tofauti na miaka ile ambapo miji mingi ilikuwa ya kawaida
Umeishi Mbeya na kufanya biashara.... Hivi utafananisha Mbeya na dodoma ki biashara kweli!?Mbeya inazidiwa Hadi na iringa kimaendeleo ndo mje mlinganishe na Dodoma kweli??
Yaan mbeya ni Jiji la ovyo Sana kwanza miundombinu yake ya ajabu Sana akija kiongozi yoyote wa serikali jam itakayotengenezwa barabarani sio ya kawaida
Mbeya mzunguko wa pesa hakuna unakuta mtu anakaa mjini ila anamashamba huko milimani ko chakula analima huko milimani , anavuna analeta ndani hakuna kununua chakula na uyo anakaa mjini
Mbeya ni Jiji la ovyo saana sijawai kuona.
Miji hujengwa papaa,hulka ya wagogo na upore wao sio kikwazo,Nimefika dodoma toka juzi wagogo
Hawachangamki
Hwaongei
Wala hawacheki
Dodoma sio mji wa kibiashara
Dodoma sio mji uliochangamka
Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi
Dodoma hamna kitu
Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6 usiku unapata seat sehemu maalumu za starehe
Bora Mbeya uje uone kulivyo changamka
Mbeya pazuri
City pub
Mwailubi
Ni raha tupu
Bora mbeya
Niwapongeze kwa nyama choma mpo vizuri ila vingine hamna kitu...
Dodoma haifai kua makao makuu ya nchi wagogo wamelala mnoo
Magufuli pia alikulupuka kujenga eneo lote lile kwaajili ya stand yamebaki magofu tuu sijui ndimo alimokua napigia pesa kwa kampuni yake ya ukandarasi
Eneo la stand la ndugai ni kubwa mnoo lulingana na uhalizia jamaa alifuja pesa saanaView attachment 2215992
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app