Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 1,059
- 3,504
[emoji23]na bila shaka ww n muuzaj maarufu maeneo ya njombeKwa mwandiko huu, bila shaka wewe ni demu wa pale Mbeya Pazuri baa.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]na bila shaka ww n muuzaj maarufu maeneo ya njombeKwa mwandiko huu, bila shaka wewe ni demu wa pale Mbeya Pazuri baa.
Nimefika dodoma toka juzi
Hawachangamki
Hwaongei
Wala hawacheki
Dodoma sio mji wa kibiashara
Dodoma sio mji uliochangamka
Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi
Dodoma hamna kitu
Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6 usiku unapata seat sehemu maalumu za starehe
Bora Mbeya uje uone kulivyo changamka
Mbeya pazuri
City pub
Mwailubi
Ni raha tupu
Bora mbeya
Niwapongeze kwa nyama choma mpo vizuri ila vingine hamna kitu...
Dodoma haifai kua makao makuu ya nchi wagogo wamelala mnoo
Magufuli pia alikulupuka kujenga eneo lote lile kwaajili ya stand yamebaki magofu tuu sijui ndimo alimokua napigia pesa kwa kampuni yake ya ukandarasi
Eneo la stand la ndugai ni kubwa mnoo lulingana na uhalizia jamaa alifuja pesa saana
View attachment 2215992
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Unahasira na wenyeji wa mkoa wa Dodoma jipige kifua mara tatu sema Mungu nitoe kwenye dhambi ya wivu miji yote Iko poa kutegemea issues zako tu kuna mbeya humtoi hata kwa greda na kuna myakyusa Dom humtoi hata kwa Nini offcource umeongea veper tuNimefika dodoma toka juzi
Hawachangamki
Hwaongei
Wala hawacheki
Dodoma sio mji wa kibiashara
Dodoma sio mji uliochangamka
Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi
Dodoma hamna kitu
Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6 usiku unapata seat sehemu maalumu za starehe
Bora Mbeya uje uone kulivyo changamka
Mbeya pazuri
City pub
Mwailubi
Ni raha tupu
Bora mbeya
Niwapongeze kwa nyama choma mpo vizuri ila vingine hamna kitu...
Dodoma haifai kua makao makuu ya nchi wagogo wamelala mnoo
Magufuli pia alikulupuka kujenga eneo lote lile kwaajili ya stand yamebaki magofu tuu sijui ndimo alimokua napigia pesa kwa kampuni yake ya ukandarasi
Eneo la stand la ndugai ni kubwa mnoo lulingana na uhalizia jamaa alifuja pesa saana
View attachment 2215992
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Beware na misosi ya mbeya wanaweka amira kwenye kila kitu hadi ugalinlchokiona mbeya
1, wachafu na wananch s wastaarabu yan bas zima wanaongea uyu wa mbele anaongea na wa nyuma cm ikpgwa ndio sir zao zote znajulkana mana hawajui kuongea pole pole
2, kitu kinaitwa muda kwa sio shda kukukalsha masaa 3 wao n jambo la kawaida
3,Wako rafu kwenye kila ktu hata uandaaj wa vyakula
4 nlchopenda n chips za buku n mzgo wa maana na nyama kwao bado iko bei ya chin kwaio pale bado n kijiji na apafai kuitwa jiji
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mi nyumbani Mbeya ila naona Haistahili hata kuwa Jiji Yaani Mbeya ni Kama Kijiji Kilichochangamka aisee
Sasa hao Engineers wa Mbeya watoke wakajifunze Morogoro Mwanza Dodoma na kwingineko maana inaonesha wamefeli pakubwa.Stand Eng waliojenga hawakudesign vizuri.
Barabara zitapanuliwa soon..kuhusu kuharibika mfano kipande Cha simike yaani hata aende kujenga nani,poatabomoka tu!pameshikiliwa pale .
Uzuri Mbeya jatutegemei Garden uchwara kuweka kijani.
Sisi jiji letu ni kijani tosha.
Afu wanaongea kinyaki tu [emoji16]Kuna kipindi nilienda,nkapanda daladala nikakaa siti ya nyuma,basi wakaja wamama wawili vibonge wakakaa nilipokaa...yaani walinibana hadi nafika Mbalizi nipo hoi