Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
MalafyaleNdaga mwarafyale Bujibuji Simba Nyamaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MalafyaleNdaga mwarafyale Bujibuji Simba Nyamaume
Acha wivu😃Wewe ni mnyaki ennh...🤣🤣🤣
Na hapo tumetupia picha ya kawaida sana.Kwamba Mtwara hakuna arial photo nzuri? Wewe umekua tuu Selective kuchagua eneo linalokufaa kisha ukaweka hapa!
hapukuwa pabaya sana ila hali ilikuwa hivyo kwa level kama hiyo Dodoma wanafanya vizuriUkienda migahawa ya kawaida ya vichochoroni lazima upate huduma za vichochoroni... Nchi nzima iko hivyo
Hivi hukuona migahawa, restaurant au hotel Nzuri hadi uende vichochoroni ndio uje kuongelea Mbeya
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Mzunguko wa pesa kwa mbeya mjini hakuna kabisa labda Tunduma na chunyaMbeya mzunguko wa fedha hakuna? Are you serious or kidding? Bila ya Serikali Dodoma ni zero tena zero kabisa. Mbeya inajiendesha yenyewe
Tulia wewe tuntufye...Mbeya nzima maswimming pool ni mawili tu...🤣🤣🤣Acha wivu😃
Mbeya tuko juu mawinguni..kama mambele huko yaani.
Kwa mwandiko huu, bila shaka wewe ni demu wa pale Mbeya Pazuri baa.nlchokiona mbeya
1, wachafu na wananch s wastaarabu yan bas zima wanaongea uyu wa mbele anaongea na wa nyuma cm ikpgwa ndio sir zao zote znajulkana mana hawajui kuongea pole pole
2, kitu kinaitwa muda kwa sio shda kukukalsha masaa 3 wao n jambo la kawaida
3,Wako rafu kwenye kila ktu hata uandaaj wa vyakula
4 nlchopenda n chips za buku n mzgo wa maana na nyama kwao bado iko bei ya chin kwaio pale bado n kijiji na apafai kuitwa jiji
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hilo jina[emoji1787]Tulia wewe tuntufye...Mbeya nzima maswimming pool ni mawili tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli mwanaume wa Dar lakini hio Mbeya baridi yake hua ni usiku na alfajiri, mchana hua ni jua kali linachoma kabisa..swimming pool muhimu maana sio watu wote wakarundikane City Pub, Mwailubi, Mbeya pazuri au Carnival walau wengine siku za wikend au sikukuu tuende kuogelea huko na kuchill na nyie akina Tuntufye aka ntyuntyu...🤣🤣😷😷Hilo jina[emoji1787]
Kuna mtoto Anaitwa hilo jina,
Anawaambia wenzie marufuku kuniita Tuntufye,Naitwa ntyuntyu [emoji1787].
Sasa swimming pool za nini na baridi lote lile??
Ukienda Mbeya utatamani utembee na Blanket halafu wanaume wa Dar mnatuambia habari za swimming pool!!mnataka baridi iwaue??[emoji23]Au mnadhani ni jiji la hovyo lenye fukuto la joto kama huku kwenu Daslama?
Mkaogelee wapi na ile baridi?Ni kweli mwanaume wa Dar lakini hio Mbeya baridi yake hua ni usiku na alfajiri, mchana hua ni jua kali linachoma kabisa..swimming pool muhimu maana sio watu wote wakarundikane City Pub, Mwailubi, Mbeya pazuri au Carnival walau wengine siku za wikend au sikukuu tuende kuogelea huko na kuchill na nyie akina Tuntufye aka ntyuntyu...[emoji1787][emoji1787][emoji40][emoji40]
Stand Eng waliojenga hawakudesign vizuri.Moja ya vitu vinavyoikwamisha Mbeya kuendelea ni Rushwa tu. Barabara wanazojenga kwa macho zinaonekana ni nzuri tu ila ndani ya mwaka mmoja utaona mashimo mashimo kibao. Angalia Stendi za Mabasi hasa ya nananane. Ile stendi imejengwa kipindi ambacho mikoa yote inajenga stendi zao lakini Mbeya kwa ukubwa wa mji ule na uwingi wa mabasi yanayotoka mbeya kwenda mikoani na yale yanayopita yakiwa safarini, ile stendi haina hadhi hata kidogo ya kuhandle purukushani hizo.
Turudi sasa kwenye ile City Garden. Kabla ya kujengwa wananchi waliaminishwa itakwenda kubadilisha mandhari ya mji wa mbeya [emoji16][emoji16][emoji16]Wote ni mashahidi city garden ilojengwa ni uchafu mtupu.
Kitu cha pili kinachoirudisha Mbeya Nyuma ni ishu za kisiasa. Huenda mbeya inaadhibiwa "vikali" na uamuzi wa wao kipindi hicho kumchagua mbunge wa chama pinzani na kumpa sifa zaidi ni rais wa Mbeya. Viongozi wakubwa wakubwa wa serikali hawakanyagi Mbeya + mikoa ya kusini. Kama hawakanyagi ni wazi kwamba hata kukumbukwa kimaendelea ni ngumu. Effect ya Mh mbunge wa sasa bado haijaonekana despite her position bungeni.
Mbeya pale ilipo ni jitihada za wenyeji katika kujenga majengo mazuri kwa ajili ya ofisi zao pamoja na nyumba za makazi.
Barabara ndio [emoji17][emoji17]
Dodoma inaonekana kukua kwa haraka kwa sababu serikali inawekeza pakubwa zaidi kuliko wananchi wenyewe.
ARUSHA sasa inaenda kuipita Mbeya [emoji23][emoji23] Joke joke joke
Kuna kipindi nilienda,nkapanda daladala nikakaa siti ya nyuma,basi wakaja wamama wawili vibonge wakakaa nilipokaa...yaani walinibana hadi nafika Mbalizi nipo hoinlchokiona mbeya
1, wachafu na wananch s wastaarabu yan bas zima wanaongea uyu wa mbele anaongea na wa nyuma cm ikpgwa ndio sir zao zote znajulkana mana hawajui kuongea pole pole
2, kitu kinaitwa muda kwa sio shda kukukalsha masaa 3 wao n jambo la kawaida
3,Wako rafu kwenye kila ktu hata uandaaj wa vyakula
4 nlchopenda n chips za buku n mzgo wa maana na nyama kwao bado iko bei ya chin kwaio pale bado n kijiji na apafai kuitwa jiji
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Tanga na MusomaWapi kuko planned hapa Tzn ukiacha Dodoma?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna kipindi nilienda,nkapanda daladala nikakaa siti ya nyuma,basi wakaja wamama wawili vibonge wakakaa nilipokaa...yaani walinibana hadi nafika Mbalizi nipo hoi
Sawa,ila hiyo ni miji midogoTanga na Musoma
Pakawaida sana sijui unlinganisha na nini? Kwenye sehemu za starehe Mbeya bado sana! Dodoma inakuja juu hata kwenye viwanja vya starehe/burudani.Umefika mara ya mwisho lini Mbeya... Njoo new Mbeya pazuri... Ujionee.. uzuri wake kama ulifika mwaka jana kurudi nyuma usicoment hapa
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app