Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma


Sawa mwaisa mtu mbadi [emoji851]ila unaposema Dodoma sio mji wa biashara umeshawahi kufanya hata biashara ya kuuza karanga!?
 
Unahasira na wenyeji wa mkoa wa Dodoma jipige kifua mara tatu sema Mungu nitoe kwenye dhambi ya wivu miji yote Iko poa kutegemea issues zako tu kuna mbeya humtoi hata kwa greda na kuna myakyusa Dom humtoi hata kwa Nini offcource umeongea veper tu
 
Beware na misosi ya mbeya wanaweka amira kwenye kila kitu hadi ugali

Sijui hii tabia kama wameshaacha
 
Mi nyumbani Mbeya ila naona Haistahili hata kuwa Jiji Yaani Mbeya ni Kama Kijiji Kilichochangamka aisee

Tukisema tunaonekana tunaikandia Mbeya wakati wengine were born and raised in Mby.

Mby ni Kijiji kikubwa no more no less.

Hizo sehemu wanazosifia ni utopolo mtupu ila sababu standard Mby ziko chini basi zinaonekana nzuri.

Tukisema huduma ambazo Mby hazipo wanasema sio za lazima au muhimu bila kujua wingi wa huduma tena zenye ubora ndo zinafanya mji kuwa Jiji.

Naipenda Mby ila Mby ni Ileje yenye watu wengi tu.
 
Sasa hao Engineers wa Mbeya watoke wakajifunze Morogoro Mwanza Dodoma na kwingineko maana inaonesha wamefeli pakubwa.
City Garden pia watu walipiga hela, wakatafuta wajenzi wa Ituha wakaja kujenga bila hata ramani.
Ila hakika nakwambia, lile eneo lingepata Designer mzuri, lingekua sehemu nzuri sana watu kupumzika na kuooozea machungu ya maisha. Iwe tajir au maskini.
Jiji walimtafuta fundi Michael wakamaliza kazi.
Singida inaenda kuipita Mbeya hivihivi tunaiona
 
Kuna kipindi nilienda,nkapanda daladala nikakaa siti ya nyuma,basi wakaja wamama wawili vibonge wakakaa nilipokaa...yaani walinibana hadi nafika Mbalizi nipo hoi
Afu wanaongea kinyaki tu [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…