Bora niendelee kuwa single

Cha ajabu Mke anamwacha mume wake kwa sababu ya michepuko ila yeye anaenda kudate na mume wa mtu tena
Akili zao hawa kenge wanazijua wenyewe 🤣🤣🤣.
Sasa unamuacha mwanaume alafu unaenda kwa mwanaume mwengine kisa eti huyu wa kwanza amekula mbususu nyingine 🤣🤣🤣🤣 sii vichekesho hivho jamani
 
Watu wakiacha kuoana kwa kuendeshwa na nyege, ndoa hazitakua na shida kama kipindi hiki.
Hata zamani shida zilikuwepo ila wazee wetu walikuwa wavumilivu zaidi yetu ndomna walikaa miaka.
 
Karibu kwenye chama la wana..
Ndoa zinatesa wengii sana wachache wametoboa!
 
Unainjoy, really?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…