Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiulizaga sana ikitokea kila mtu kwenye jamii hana ndoa, maisha yatakuwaje?
😂Sehemu ya wengi Ina mengi. Muhimu chukua unayoona yanafaa , shuhuda hazimaanishi watu wasiooane ila usiendelee kuvumilia kwa miaka ukafikia hatua ya kuuana. Ndomna kukawa na mlango wa talaka.Ila ndoa kwa hizi shuhuda za humu usipochanganya na zako unaweza jikuta umeshasubscribe kwenye kile chama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ugali tembele kwenye Amani mara gafla M23 hawa hapa booom[emoji95][emoji95]
Wewe ni me au ke, tujulishe sisi kufa kufaanaZamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.
Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".
Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.
Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.
Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.
Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Nmekuelewa vyema kabisa.😂Sehemu ya wengi Ina mengi. Muhimu chukua unayoona yanafaa , shuhuda hazimaanishi watu wasiooane ila usiendelee kuvumilia kwa miaka ukafikia hatua ya kuuana. Ndomna kukawa na mlango wa talaka.
" Kaeni vizuri, au ikibidi kuachana , achaneni kwa wema".
Nyuzi za kupongeza ndoa ni chache mno na zinatokea baada ya miaka ila za kuponda na za maumivu ndani ya ndoa kila leo zinaibuliwa.Bwana wee mie mpaka nawasiwasi humu tupo na mawakala wa shetani.
Maana ni kulalamika tuu ndani ya ndoa tafikiria hamna jema kwenye hizo ndoa
Jipe muda matendo ni mwalimu Mzuri.kuachana na mke au mme ni udhaifu wa kushindwa kudhibiti madhaifu yako.Ukiolewa au kuoa ishi na nusu uhuru na ukubali hakuna aliyekamilika vinginevyo rudisheni pesa na gharama za harusi kwa waiowachangia. Msitie watu hasara
Ndoa tamu wewe asikudanganye mtu😂😂 Endelea kuinjoy maisha, shuhuda zisikutishe hata waliosingle Kila kukicha wanaolewa.
🤣🤣Hii thread umeandika ukiwa juu ya boda boda maana ni inadunda dunda sio poa
Hukua na sifa ya kuoelewa wewe kama walivyo wanawale wengi leo.Uzi upo kwa ujumla au Kuna sehemu nimesema alinifanyia hili na lile na lile.
Lengo ni " usiyabebe maumivu ya uvumilivu kwa miaka, akizingua sepa kwa Amani, kwa afya ya moyo , nafsi na akili Yako".