Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asa si ulishanijibu Shanily au ulisahau kuuliza Hilo swaliUzi unadunda dunda unamaanisha Nini!??
Yeah ndo style hiyo mkuu. Mimi sio kataa ndoa😅Na bado utakaa single na itafika mda mwingine utaingia Tena kwenye ndoa ikikusumbua Tena unatoka hayo ndiyo maisha na hapo utakuwa umeyaweza maisha, Kaa single kwa mda akija mtu Sahihi ingia ndoani
Haya ShaniNilijibu Kwa utani japo sikuelewa ulimaanisha nini Uzi kudunda dunda.
Sio kushea tu na kuskilizana, kuelezwa a kuwepo pia.Mpaka sasa hamjui maana ya ndoa
Mdoa ni
Siri nyingi mnashea.
Ugomvi mwinginashea
Sahani ya msosi mnashea
Dharau mnashea
Kucheka lazima mshee
Kuchepuka lazima mshee
Mkishindwa tu kushea
Hahaha
Ni doa na si ndoa
Acha maneno☺️Nyie achaneni tu buana,. Chamsingi msitupigie tu kelele
😂😂😂Huwezi kutamani kuwa single kama hujaoonjeshwa shubiri kwenye ndoa. Utakaposalitiwa na kuoneshwa ujeuri wa kila aina na mke ndio utatamani kuwa single. Unakuta mke hana heshima, ni mzinzi balaa, inakuwa kama umeolea kijiji/mtaa, watu wanaonja mpiko
Huoni kama mnamkatili huyo Mtoto ?Mtoto ana nafasi yake na ndoa Ina nafasi yake, kwani watu wakiachana mtoto anaacha kukua!??
Basi mliishi sana. Ni nini kimewashinda uzeeni? Mlikuwa na watoto wangapi?Amekula chumvi kiasi si haba
Hutaki kuinjoy!?Nyie achaneni tu buana,. Chamsingi msitupigie tu kelele
Hakika,japo nia ya kweli kwa Wengi inakuwepo ila sema tu kwenye mapenzi kimechafuka🥴Ndoa nyingi watu wanafuata mkumbo tu..
Sawa gar likikusumbua uza nunua jingine maisha yanasonga, na hiyo ni ujipende wewe kwanza kabla ya mwingine.Yeah ndo style hiyo mkuu. Mimi sio kataa ndoa😅