Bora nijikite huku nipate raha

Mi sina moyo mgumu sana inabidi kulishwa sumu nyingi
Hahaaaa, pole Mummy hawa ndo wanaume wa Tanganyika, wanafiki na waongo kweli kweli, ila wakiwa nyuma ya keyboards ni makomandoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaan acha tu halaf kazi yao kuja kutusimanga sisi huku eti tunawaza ngono muda wote
 
Vumilia tu katika hiki kipindi kigumu, wanaume wa Daslama ndo wamekuangusheni, walitakiwa kukusanyika pale posta na kukinukisha kwenda magogoni!!
 
Yaan unadhan tungekuwa tuna wanaume ngangali hata sisi wanawake tungeamka lazima,lakin ndio hivyo acha dictator atunyooshe
 
Sasa hivi makucha ndo yataonekana waziwazi, na jpm tayari kashawasoma watz akili zao
 
Mhhh we ni mama kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…