niko mara niko seriousUko pande zp mwana
Kuwa kwake jela hakufanyi kazi kusimamaNapenda madili kama el chapo sema tatizo mchiz yuko jela
Ngoja nitangulie nitakuita msela wanguQatar, ukifanikiwa kuingia hapo ni kama chooni hata kama huna haja lazima ujisaidie. Kuna mpunga wa kufa mtu; jamaa zangu wawili wako huko walikwenda kiutaniutani tuu lakini Matusi yao huku Dar kwenye Familia zao TUNAKOMA.!!!
Mimi mwenyewe nikipata chance nataka kwenda Qatar tuu.
Wazo zuri ila tumia lugha yenye kuwakilisha rika lote. Kuna wengine lugha kama hizi ni vigumu sana kukupa ushauri.Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu nina mpango wa kutembea mambele kuchek life la uhakika hili life la bongo sasa limekuwa michosho unaumiza kichwa kishenz kupata hela na hela hupati
Mambo yamekuwa siyo mambo haya masela wangu yaan hadi mvua imekua taarifa ya habari kweli mambo yamegoma hadi mvua inatangazwa falu anathaman zaid ya binadamu anatafutwa ni hatari
Bora tu mimi nisepe lakin nina mpango wa kuelekea USA kama sio ULAYA nilikua napenda sana kutimukia nchi za kiarabu lakin nazo saiv ni majanga tupu niombeni masela wangu nifanikishe nyie ndo huwa nawaaminia sana
Nawategemea sana kwa maushauri yenu unaweza tu hata ukanishaur ni nchi gan niende ambayo life lake liko poa na naweka kutengeneza mkwanja fasta lakin lazima nitimuke mazee
Qatar ni dili.karibu sanaNgoja nitangulie nitakuita msela wangu
tangulia utufanyie mchakatoNgoja nitangulie nitakuita msela wangu
Mkuu unaendajeendaje...Qatar, ukifanikiwa kuingia hapo ni kama chooni hata kama huna haja lazima ujisaidie. Kuna mpunga wa kufa mtu; jamaa zangu wawili wako huko walikwenda kiutaniutani tuu lakini Matusi yao huku Dar kwenye Familia zao TUNAKOMA.!!!
Mimi mwenyewe nikipata chance nataka kwenda Qatar tuu.
Hata mimi naona kwa trump ndo pakwenda asante dada
Bhaas nitumie namba ya demu wako kabisa.au unasepa nae?Siku yoyote msela wangu