Bora nikacheki life mambele bongo kumenuka masela wangu

hivi watu huwa mnatoa wapi ujasiri wa kuwaza kwenda marekani!! ile nchi mimi huwa naiona kama imelaaniwa hivi (ashakum si matusi)
 
Wadau nisaidieni bas Mimi napenda kwenda nje ivi...
Issue ni channel..sna ndugu,rafiki wala jamaa huko mbele...ila natamani sana kwenda huko...naendaje wandg..Am seriously mwenye msaada au kma kna Uzi apa upo plain plz naaomba link ili niende mbele
Wewe tafuta viza tu mambo mengine mbele kwa mbele
 
Kajaribu maisha popote huwezi toka kimaisha ulipozaliwa ila si tunakomaa hapa hapa fursa kibao tutakuja kutumia huko.Nenda Syria au Libya kakusanye screpa uuze ulaya utatoka fasta.
Hilo nalo neno lakin syria mkuu kweli
 
We mtoto nimekua nikifuatilia thread zako na inaonyesha huna heshima kijana, yaani sisi wazee na familia zetu unatuita MASELA!!!!
Pole mzee lakin hata wazee baadhi yao ni masela
 
hivi watu huwa mnatoa wapi ujasiri wa kuwaza kwenda marekani!! ile nchi mimi huwa naiona kama imelaaniwa hivi (ashakum si matusi)
We ndo umeraniwa wenzako warabu wanalilia kwenda marekan marekan we unasema imeraniwa
 

Yana umenichekesha, inaonekana wewe wataka ushauri wa nchi ya kwenda, kana kwamba uwezo wa kwenda nchi yeyote unayo? ti ti ti ti! Jamaa mnapovuta bangi zielekezeni ziwasaidie vitu vya msingi na sio unavuta huku unaangalia tamthiliya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…