Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema Bongo KUMENUKA??Baki salama mwana wane stunter
Wewe tafuta viza tu mambo mengine mbele kwa mbeleWadau nisaidieni bas Mimi napenda kwenda nje ivi...
Issue ni channel..sna ndugu,rafiki wala jamaa huko mbele...ila natamani sana kwenda huko...naendaje wandg..Am seriously mwenye msaada au kma kna Uzi apa upo plain plz naaomba link ili niende mbele
Mkuu uende mahali hujui unafkia wap..hyo vsa yenyewe hupati hadi wajue unapofikiaWewe tafuta viza tu mambo mengine mbele kwa mbele
kuraniwa ndio nini mkuu?We ndo umeraniwa wenzako warabu wanalilia kwenda marekan marekan we unasema imeraniwa
Nasikia kuna SGRHuko michosho
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu nina mpango wa kutembea mambele kuchek life la uhakika hili life la bongo sasa limekuwa michosho unaumiza kichwa kishenz kupata hela na hela hupati
Mambo yamekuwa siyo mambo haya masela wangu yaan hadi mvua imekua taarifa ya habari kweli mambo yamegoma hadi mvua inatangazwa falu anathaman zaid ya binadamu anatafutwa ni hatari
Bora tu mimi nisepe lakin nina mpango wa kuelekea USA kama sio ULAYA nilikua napenda sana kutimukia nchi za kiarabu lakin nazo saiv ni majanga tupu niombeni masela wangu nifanikishe nyie ndo huwa nawaaminia sana
Nawategemea sana kwa maushauri yenu unaweza tu hata ukanishaur ni nchi gan niende ambayo life lake liko poa na naweka kutengeneza mkwanja fasta lakin lazima nitimuke mazee
safari itanogakwelikweli..nitafute tusepe wote mshikaji wangu