Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu nina mpango wa kutembea mambele kuchek life la uhakika hili life la bongo sasa limekuwa michosho unaumiza kichwa kishenz kupata hela na hela hupati
Mambo yamekuwa siyo mambo haya masela wangu yaan hadi mvua imekua taarifa ya habari kweli mambo yamegoma hadi mvua inatangazwa falu anathaman zaid ya binadamu anatafutwa ni hatari
Bora tu mimi nisepe lakin nina mpango wa kuelekea USA kama sio ULAYA nilikua napenda sana kutimukia nchi za kiarabu lakin nazo saiv ni majanga tupu niombeni masela wangu nifanikishe nyie ndo huwa nawaaminia sana
Nawategemea sana kwa maushauri yenu unaweza tu hata ukanishaur ni nchi gan niende ambayo life lake liko poa na naweka kutengeneza mkwanja fasta lakin lazima nitimuke mazee