Bora nioe mama wa nyumbani, atanisikiliza

Arusha kuna mke wa mtu juzi kati hapa kaliwa kwenye gari daladala costa, daah watu wanaugwadu, aliyemla ni chalii mdogo tu....
Mume kapata aibu sana.
Ndoa ikavunjika?
 
Wanawake wanaofanya kazi wana ndoto kubwa sana ,wanahitaji usafiri binafsi ,wanahitaji lunch za KFC daily sasa kina BALTAZARY wapo huko kwa kuwatimizia hayo mahitaji.
Na majukumu ya kumlea mmewe nyumbani anaachiwa mfanyakazi wa nyumbani; kwa namna nyingine, mmewe anakuwa ameoa beki tatu bila kujielewa.​
 
Hakuna muongozo mkuu, vyovyote vile unagongewa tu. Ni kuomba kupata mke submissive asiye na tamaa za pesa na anayeridhika kwa unachompa.
 
nani wa kumpeleka huko uhamishoni sasa, Kala wake wa vigogo mpaka dada wa raisi, uhamishoni kwake ni pembe nne tu, amefanya jambo la kijinga sana hakufikiri akajua itaendelea kuwa siri
Wewe unadhani watalfanya kitu. Jamaa amtokeq familia ya kitajiri na yeye ni tajiri. Watamalizana tu kishkaji.
 
Na wa kwako aishie la saba ili akawe mke bora. Sio wa kwako unapeleka shule na apate ajira halafu wenzako wasipeleke shule.
Halafu mkiwa mtaani huko mnasifia binti zetu wamesoma na wana kazi nzuri.
Kuchepuka ni changuo, haijalishi ni wa la saba, au ana kazi nzuri. Akiamua kaamua.
Wewe unadhani wa mama wa nyumbani hawachepuki?
Fanya utafiti uone, utagongewa tu hata kama unamuacha nyumbani, ni kwa sababu kaamua.
 
Mwambie huyo.
 
kuoa ni kuyatafutia makazi ya kudumu, magonjwa nyemelezi kama PRESSURE, KISUKARI, MSONGO WA MAWAZO, VIDONDA VYA TUMBO, MBA, MAJIPU, TETEKUWANGA n.k katika mwili wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…