Bora nipigwe mawe lakini sitarudia tena kufanya mapenzi na wanawake wavaa mawigi

Lakini hao ndio mnawaona wazuri,hapo awe kajichubua mpaka kawa wa njano kama papai,aweke makope mpaka jicho linavimba na makucha kama nsyuka.
Ndo Kisu huyo pambana na huba lako.
Nimeishia kucheka tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hujanidanganya, nitumie mpesa faster ili by ijumaa jioni nipo getho
haukawii kuniambia waleti uliacha kazini wewe

teh teh
Poa ngoja nitume momy si namba ni hii hii tunayowasiliana au nyingine
 
Yaani akivua wigi waweza sema nani alikuchagulia maana libichwa unakuta bayaa bonge la chogo utadhani mpasua mbao dah wiki halikuwa wahi msitiri mwanamke akaonekana mzuri asilani siiiiiiipendi!
 
hii hii ucjali itaandika lile jina nililokuambiaga lile
hope bado unalikumbuka
Ahahahaaaa nalikumbuka kipenz Chang wewe tena lazima nikutumie na ya kutolea
 
Si wote. Wengine mawigi yao wanajitahiji usafi hivyo yako vizuri
 
Same thing nilikua nakiwaza! haiwezekani kabisa uwe unajielewa upate mtu mwenye wig mnuko hivi haya majamaa yanajifunza mapenzi sijui yanabeba mademu wa wap! mwanamke matunzo buana wataendelea kubeba hizo class mnuko zao kama hawajui kujiongeza mfyuu zao.
 
Hujui ukisemacho sister
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…