Bora nirudi kwa wazazi wangu wanifunze upya

Bora nirudi kwa wazazi wangu wanifunze upya

Asante msimuliaji nimefurahi Kwa uamuzi alio uchukua Tina....kukubali kuishi na maambukizi na kuamua kusamehe sii jambo rahisi... story Ina mengi ya kujifunza kwetu na Kwa watoto wetu
Kabisa mkuu
 
Kuoa/kuolewa hakuwezi kuponya maumivu yeyote, kikubwa hapo tuombe tu Mungu Tina huko kijijini alipoenda asije akawasambazia vijana wa huko
Unamkataa kiujanja! Lazima awasambazie tu sababu vijana mkiambiwa mvae ndomu mnagoma isitoshe Tina ni mweupe peeee nani atakubali ndomu
 
Unamkataa kiujanja! Lazima awasambazie tu sababu vijana mkiambiwa mvae ndomu mnagoma isitoshe Tina ni mweuoe peeee nani atakubali ndomu
Watu hawaogopi wanapima Kwa macho mtu anatembea dry, sijawahi kua na mtu ambae sijui hali yake ya afya😂
 
Itakua kazaliwa nao, zamani nilikua najua huo ugonjwa ni story tu ila kumbe upo kweli.
Kwa experience yangu ndogo wale wa kuzaliwa nao hawafiki mbali sana kiumri, mabinti wadogo wakiukwaa hawachukui zaidi ya miaka 10, ila wanaoupata ukubwani wanaishi nao muda mrefu mfano Kuna mwalimu Moja tangu nkiwa darasa la kwanza yy alishakua mgonjwa lakini mpaka Leo yupo Kuna kipindi ataugua sana Kuna kipindi atanawiri sana
 
Kwanini inakua hivyo?
Nakumbuka form 1 kuna binti alikua anakaa day pia mtoro sana afya yake imedhoofika
Kuna siku nikamuuliza mbona unatega sana shule? Akanijibu "naumwa natumia Arvs" nikampa pole. Sasa baadae nilivyokaa mwenyewe nikakumbuka alivyonijibu nikasema Arvs si dawa za ukimwi ila sikumfata kumuuliza tena.
Alikufa tukiwa form 2
 
Binafsi sijui ni kwanini labda wataalamu wa afya watusaidie japo mambo ya uimara wa Kinga, uchumi, uzingatifu wa dose na kukubaliana na hali yaweza changia
 
Back
Top Bottom