Bora nirudi kwa wazazi wangu wanifunze upya

Bora ufanye hayo ila kufeli chuo ni mbaya sana, mtu umetoka kote huko kumalizia mkia inashindikana
Sema hapo uchawi inakua ni kupotezewa muda maana ukidisco unaweza kurejea tena chuo... kikubwa ni kuomba Mungu usipate gonjwa lisilotibika, usije pata changamoto ya mambo ya uzazi maana wanakua wanafanya abortion sana & usiachiwe majukumu mengi kama watoto 2++
 

Mjeda mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…