mimimwalimu
Member
- Oct 24, 2022
- 19
- 13
Hapo ongezea kusulubiwa kwa ulimboka na mauwaji ya mtwara.1.Mauaji ya akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wale zaidi ya 300 wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji
2. Kumshambulia Tundu Lissu
3. Kumtuma yule hayawani Makonda kuvamia kituo cha Clouds
4. Kumteka Mo Dewji na Roma Mkatoliki
5. Wale waliokuwa wanatupwa kwenye viroba baharini na mto Ruvu.
Kweli Tanzania ni mahali salama bila dikteta Magufuli
Wewe ni mpuuzi, hao waliopotea ilikuwa ili neno litimieSalaam Wakuu,
Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi".
Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi.
Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala au kuhoji matumizi ya fedha za Serikali.
Tukamuomba Mungu na kusoma albadiri ili atuepushie na kikombe kile, Mungu akasikia maombi yetu
Sasa leo kuna watu wamekosa maji na umeme kwa siku kadhaa wanatamani kurudi utumwani Mungu alikotutoa na wanamlaumu Mungu kwanini katutoa kule ambapo mtu alikuwa hajui kesho yake kama ataamka salama. Mbona vijijini watu hawana Umeme na Wanaishi? Itakuwa huu umeme wa kukosa mwezi mmoja ndo utamani kurudi Misri? Jipe moyo Utashinda
Hata Wana wa Israel walipookolewa Misri utumwani walitamani kurudi huko. Ndo hawa wanaotamani kurudi tulikotoka.
Nawatia Moyo, tulieni tuiunge Mkono Serikali na Mamlaka yake kwani Mamlaka ya Serikali yanatoka kwa Mungu. Giza likiwa nene kunakalibia kupambazuka
KUTOKA 14:11
11 Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?
12Je, hatukukuambia mambo haya tulipokuwa bado Misri? Tulikuambia utuache tuendelee kuwatumikia Wamisri. Ingalikuwa afadhali kuwatumikia Wamisri kuliko kufia huku jangwani.”
13Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
14Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”
15Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa nini mnanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele.
16Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.
Viongozi wetu washainua Fimbo juu, tutavuka salama
Niteuliwe Mara ngapi?? mie ndo waleee! familia Bora, Ma tycoon! think tanker wa Bongo Land piga ua galagaza ndo ilivo imetoka hiyooo!! bila sisi hamli!! tukikutaka utaishi sawa,Endelea na ngonjera hizo labda machawa wake watakufisha kwake upate uteuzi
Bwana chirikuSalaam Wakuu,
Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi".
Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi.
Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala au kuhoji matumizi ya fedha za Serikali.
Tukamuomba Mungu na kusoma albadiri ili atuepushie na kikombe kile, Mungu akasikia maombi yetu
Sasa leo kuna watu wamekosa maji na umeme kwa siku kadhaa wanatamani kurudi utumwani Mungu alikotutoa na wanamlaumu Mungu kwanini katutoa kule ambapo mtu alikuwa hajui kesho yake kama ataamka salama. Mbona vijijini watu hawana Umeme na Wanaishi? Itakuwa huu umeme wa kukosa mwezi mmoja ndo utamani kurudi Misri? Jipe moyo Utashinda
Hata Wana wa Israel walipookolewa Misri utumwani walitamani kurudi huko. Ndo hawa wanaotamani kurudi tulikotoka.
Nawatia Moyo, tulieni tuiunge Mkono Serikali na Mamlaka yake kwani Mamlaka ya Serikali yanatoka kwa Mungu. Giza likiwa nene kunakalibia kupambazuka
KUTOKA 14:11
11 Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?
12Je, hatukukuambia mambo haya tulipokuwa bado Misri? Tulikuambia utuache tuendelee kuwatumikia Wamisri. Ingalikuwa afadhali kuwatumikia Wamisri kuliko kufia huku jangwani.”
13Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
14Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”
15Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa nini mnanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele.
16Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.
Viongozi wetu washainua Fimbo juu, tutavuka salama
Jakaya alipendwa Tanzania na Dunia nzima! kwa asilimia kubwa! kwa hiyo Dr. Ulimboka kwa uwezo wake mdogo wa kutojua siasa, ni wazi kuwa alipigwa na kushambuliwa na Mashabiki kindaki ndaki!! wa Jakaya Mrisho Kikwete!kusulubiwa kwa ulimboka na mauwaji ya mtwara.
Chutama mkuu taulo limefunguka!...Watu kupotea, kufa,....
Lakini ulishangilia mauaji ya MKIRU!!! Sijui tanzie wapi kuhoji uhalali wa kitambuliaho chako cha nida!Utawala wa Jiwe umeua watu wengi mno... jamaa hakuwa mtanzania yule roho ngumu ka ya paka. RIP Ben Saanane.
Kumbe nchi imejaa wendawazimu wengi kiasi hiki 🤔🤔🤔Niteuliwe Mara ngapi?? mie ndo waleee! familia Bora, Ma tycoon! think tanker wa Bongo Land piga ua galagaza ndo ilivo imetoka hiyooo!! bila sisi hamli!! tukikutaka utaishi sawa,
lkn pia unaweza ishi km Nyani haswaa!! tukikupania ukibisha muulizie Familia ya Said Memba yaliyo wapata!...au Matinyi Kambona tulivo wafanyia, mpaka leo vitukuu viki kumbuka Damu zao zina sisimka!
memba alijona mjanja akashukia Nairobi, kilicho mkuta hakuamini macho yake!!...km haitoshi waulize jamaa zake tamimu au Makomandoo 7 wale wa Al shaabab, yaliyo wakuta kule Mbugani wakijifanya wana AK 47!
kifupi hawana hamu na sisi! hata wakija sasa watakutana na moto tu, hii nasema ni tangu Mchonga, tunapeta tuuu! sasa ni sisi wajukuu Baba ndo tunaisuka nchi yaani sisi ndo shadow ya Government ndo sisi!!
hata ufanyeje hutatujua ng'oo!! na utufanyi kitu, utachambia sana njia panda lkn tutakupita hivi, na picha tuna kupiga kwa sababu sisi wenyewe ni wachawi wa nchi kufuru!!
Hata chizi huwa anaona wazima ni machizi kuliko yeye! hatushangai! kitakacho kufanya uwatofautishe ni cheti cha Daktari! lkn chizi wa kweli atashindwa kusoma au atatamka bila uelewa wa cheti cha Daktari!Kumbe nchi imejaa wendawazimu wengi kiasi hiki 🤔🤔🤔
We stand with Bashiru..Salaam Wakuu,
Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi".
Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi.
Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala au kuhoji matumizi ya fedha za Serikali.
Tukamuomba Mungu na kusoma albadiri ili atuepushie na kikombe kile, Mungu akasikia maombi yetu
Sasa leo kuna watu wamekosa maji na umeme kwa siku kadhaa wanatamani kurudi utumwani Mungu alikotutoa na wanamlaumu Mungu kwanini katutoa kule ambapo mtu alikuwa hajui kesho yake kama ataamka salama. Mbona vijijini watu hawana Umeme na Wanaishi? Itakuwa huu umeme wa kukosa mwezi mmoja ndo utamani kurudi Misri? Jipe moyo Utashinda
Hata Wana wa Israel walipookolewa Misri utumwani walitamani kurudi huko. Ndo hawa wanaotamani kurudi tulikotoka.
Nawatia Moyo, tulieni tuiunge Mkono Serikali na Mamlaka yake kwani Mamlaka ya Serikali yanatoka kwa Mungu. Giza likiwa nene kunakalibia kupambazuka
KUTOKA 14:11
11 Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?
12Je, hatukukuambia mambo haya tulipokuwa bado Misri? Tulikuambia utuache tuendelee kuwatumikia Wamisri. Ingalikuwa afadhali kuwatumikia Wamisri kuliko kufia huku jangwani.”
13Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
14Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”
15Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa nini mnanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele.
16Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.
Viongozi wetu washainua Fimbo juu, tutavuka salama
WellBwana chiriku
Hatukuambiwa tuchague kati ya hayo mawili.
Watu kuokotwa kwenye viroba ni shughuli iliyofanywa na hawa unaowasifia leo.
Katika hayo mawili hakuna hata moja ambalo ni heri. Unachopaswa kutambua ni kuwa CCM ni kansa mbaya kwa Taifa na usikute imekutafuna hata wewe kiasi kwamba unaanza kuweka mizania ya kutafuta uafadhali kwenye mambo mabaya mawili
Sasa hivi wako free hebu ingia kwenye magrupu jadi matusi ya nguoni.Hao waliyozibwa midomo wakati wa Magufuli sasa ndio wameifungua au bado hawajafunguliwa?
Nimeipenda sana hii point yako.Bora mtu katili mwenye upeo na uelekeo wa wapi taifa liende kuliko kilaza mwenye huruma asiye na maarifa yoyote zaidi ya kuwa remote controlled.