Bora tusepe zetu Hispania & Italy

Bwana luambo makiadi wewe ni ndugu yangu najua unauzoefu kidgo na mambo ya kusafiri ..em tupe uzoefu wako namna ya kujibu maswali ya interview wakati kuomba visa..
Jiandae kisaikolojia maswali yanahitaji saikolojia sana lakini Kama una sababu rasmi ya kuomba Hakuna vikwazo,Ila Kama ni kuchomekea inabidi ujipange,Pia kama unaenda inabidi uwe na invatation ukiwa na invatation inakuwa rahisi mno,kama huna ndio mziki unakuja
 
festival zozote duniani invitations huwa ni very openly kwa kushiriki ama tourings,hasa nzuri zaidi ni za kimuziki,huku nawewe ukijifanya ni msanii./..inshort njia ya sanaa ni njia nyepesi mno ya kwenda popote pale.
Kujifanya msanii mkuu ata kuimba enyewe sijui ..basata wakiniambia niimbe nitaanzaje? Hahaha
 
Italy na Spain kote njaa Kali halafu kuna ubaguz was hatari
Huyu ni tapeli tu,Dili Kama hizi hata zikitokea huwa zinafanywa kimya kimya.
Ina maana mtoa mada amekosa ndugu hata mmoja wa kumpa hiyo nafasi au hata jirani tu wa kumpa hiyo dili.
 
Huyu ni tapeli tu,Dili Kama hizi hata zikitokea huwa zinafanywa kimya kimya.
Ina maana mtoa mada amekosa ndugu hata mmoja wa kumpa hiyo nafasi au hata jirani tu wa kumpa hiyo dili.
Amna utapeli wowote ..nmesafiri na jamaa wawili ..tuko Spain apa.. ndgu zangu wana familia na mim sikutaka mweny familia..
 
Bora Bongo. Italy na Spain hapafai. Mtaishia kuwa mateja kwa sababu ya stress za maisha.
 
Amna utapeli wowote ..nmesafiri na jamaa wawili ..tuko Spain apa.. ndgu zangu wana familia na mim sikutaka mweny familia..
Mara unasema umeomba visa ubalozi wa Spain Bongo ukaambiwa hadi uwe na 30 yrs. Now unasema upo Spain. Which is which ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…