Mambo vip wakuu, kwema? Kuna mchongo wa kuzamia Hispania au Italy kusaka maisha (kwa wale wanaopenda kwenda abroad either kusoma, kutafuta kazi..) Hasa Spain ndo uhakika zaidi ..ila changamoto iliyopo ni kwamba pale Spain embassy wanataka atleast mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 30 hivi na mimi nina 25 sasa ..so kama kuna raia Yuko interested mwenye na umri huo anicheki pm nimpe maelekezo nini cha kufanya.
Kama tukifanikiwa hata mwezj ujao yani October tunaeza sepa tu ..hapa bongo jua kali, ajira hakuna mitaji nayo haikui ..wazee wa vitengo wanakaba kinoma ukianzisha ka biz kako hakana ata miezi miwili tiyari washatia timu ..wanataka chao ..
Bora tusepe zetu mbele tukabebe ata box tu fresh..
Nipo siriyaz wakuu wakike na kiume..