RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Wakati mwingine natamani nichukue fimbo niwachape viboko makada wazee wa chama changu ccm mpaka basi!
Hivi kilichofanya Hadi mkachelewesha katiba Hadi Leo tunakosa option ya ushindi Hadi tumwage damu kiasi hiki ni nini!!?
We mzee kikwete kilichokufanya usisimamie katiba mapema ipatikane na kuepusha hizi sarakasi za Teka Teka,poteza poteza,mwaga mwaga damu ni nini!!?
Kama mliogopa kupoteza dola kwanini msingetengeneza mfumo wa serikali mseto walau waziri mkuu na makam wa Raise watokee upinzani Ili kuhodhi mawazo mbadala ya kizazi kipya!!Leo mbinu chafu za kishamba na kijima zinatumika Hadi tunachafuka kama katuni hivi ni nini!!?
Kuna vitu nawaza hadi nalia!
Sasa huyu mama Samia mmembebesha zigo la misumari hivi anashindwa hasta Nini Cha kufanya matokeo take anaaibika na kuishi Kwa wasiwasi kama sio namba moja,ukimuangalia huyu mama ni kama anatamani kuhepa msalaba lakini Hana namna coz lazima akisaidie Chama kushika Dola kivyovyote vile na huo ndio mtego mkubwa Sana kwake!!
Sasa Hana namna zaidi ya kutapa tapa kutugawa kupitia imani za kidini kama sasa!!
Kifupi Hali ni mbaya tumelikoroga na tunashindwa kulinywa Wala kulitema!!
Kama watz wakiamua kuandamana hatuna namna zaidi ya kumwaga damu Kwa mara nyingine na kuharibu kabisa taifa hili ambalo Nyerere alilipambania!!
Wewe mzee nenda Kwa mama mwambie a step down halafu makam atusaidie kuitisha maridhiano kabla ya kufanya uchaguzi halafu tuunde serikali mseto!
Kama hivi;-
Urais -CCM
Makam wa Raise - upinzani
Waziri mkuu-upinzani
Na vyovyote itakavyo Faa ili tuokoe nguvu KAZI ya taifa!
Hakuna namna nyingine zaidi ya hiyo!
Mungu ibariki Tanzania!