RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Inawezekana akawa anaishi kwa hofu ila huyu shetani hana ndoto kabisa za kuachia hatamu.ukimuangalia huyu mama ni kama anatamani kuhepa msalaba
Yaani ni lazima urais uende CCM😁Urais -CCM
Ni upumbavu tuliorothishwa na majasusi was nchi hii na unatumaliza!Yaani ni lazima urais uende CCM😁
Usalama was taifa umekua usalama wa CCM,hawawezi kuwa pro active, yaani ni aibu unatumua gharama kubwa sana wawe usalama wa taifa matokeo yake wanakua usalama wa ccm kushika Dola bila kujali madhara na athari Kwa taifa!!Wazo zuri ila ni mpaka kuwe na mkwamo wa kisiasa. Chama siasa za upinzani ni CHADEMA, ipo pending haifanyi siasa kwa sasa. Hichi ndicho chama cha kufanya ushirika wa mseto wa serikali na ccm mtifuano uishe. Ila wameinuka ma gen z wasioamini vyama vyama vya siasa kiasi kwamba siasa za chadema zimefunikwa na matukio ya ma gen z
Ccm siku mkianza kupata akili basi ndo siku ya kuja masihiKama hivi;-
Urais -CCM
Makam wa Raise - upinzani
Waziri mkuu-upinzani
Na vyovyote itakavyo Faa ili tuokoe nguvu KAZI ya taifa!
Hakuna namna nyingine zaidi ya hiyo
Ccm ni kama walishindwa kusoma upepo. Hiki si kizazi cha ccm, hivyo ccm haiwezi kushinda tena itakavyo kwenye uchaguzi wowote halali. Kizazi cha ccm kiliisha uchaguzi wa 2005, ule ndio ulikuwa uchaguzi wa mwisho wa ccm kushinda kihalali kwenye mfumo wa vyama vingi.Ilani yetu bila aibu inasema KAZI na utu tusonge mbele Sasa hiyo miili na video chafu zilizo sambaa ndio utu!!?
Hasira sana!!
Serikali mseto chini ya samia ni upumbavu mtupu na usaliti wa kushibisha matumbo binafsi..Wakati mwingine natamani nichukue fimbo niwachape viboko makada wazee wa chama changu ccm mpaka basi!
Hivi kilichofanya Hadi mkachelewesha katiba Hadi Leo tunakosa option ya ushindi Hadi tumwage damu kiasi hiki ni nini!!?
We mzee kikwete kilichokufanya usisimamie katiba mapema ipatikane na kuepusha hizi sarakasi za Teka Teka,poteza poteza,mwaga mwaga damu ni nini!!?
Kama mliogopa kupoteza dola kwanini msingetengeneza mfumo wa serikali mseto walau waziri mkuu na makam wa Raise watokee upinzani Ili kuhodhi mawazo mbadala ya kizazi kipya!!Leo mbinu chafu za kishamba na kijima zinatumika Hadi tunachafuka kama katuni hivi ni nini!!?
Kuna vitu nawaza hadi nalia!
Sasa huyu mama Samia mmembebesha zigo la misumari hivi anashindwa hasta Nini Cha kufanya matokeo take anaaibika na kuishi Kwa wasiwasi kama sio namba moja,ukimuangalia huyu mama ni kama anatamani kuhepa msalaba lakini Hana namna coz lazima akisaidie Chama kushika Dola kivyovyote vile na huo ndio mtego mkubwa Sana kwake!!
Sasa Hana namna zaidi ya kutapa tapa kutugawa kupitia imani za kidini kama sasa!!
Kifupi Hali ni mbaya tumelikoroga na tunashindwa kulinywa Wala kulitema!!
Kama watz wakiamua kuandamana hatuna namna zaidi ya kumwaga damu Kwa mara nyingine na kuharibu kabisa taifa hili ambalo Nyerere alilipambania!!
Wewe mzee nenda Kwa mama mwambie a step down halafu makam atusaidie kuitisha maridhiano kabla ya kufanya uchaguzi halafu tuunde serikali mseto!
Kama hivi;-
Urais -CCM
Makam wa Raise - upinzani
Waziri mkuu-upinzani
Na vyovyote itakavyo Faa ili tuokoe nguvu KAZI ya taifa!
Hakuna namna nyingine zaidi ya hiyo!
Mungu ibariki Tanzania!
Ccm nawafananisha na mtu aliyezeeka ila hataki kukubali ukweli. Mara atapaka mkorogo, atavaa nguo za vijana, atatumia vumbi la kongo na uchafu kama huo. Matokeo ya kulazimisha kuishi kama kijana wakati umri umeenda utaishia kuaibika. Ccm mkiwa kwenye vikao nyenu ambianeni ukweli kuwa wakati ukuta, mkiiukataa ukweli huu, damu itamwagika, lakini mtakuwa na mwisho mbaya. Wako watakaopoteza maisha, kuhama nchi, kuishia jela nk.Usalama was taifa umekua usalama wa CCM,hawawezi kuwa pro active, yaani ni aibu unatumua gharama kubwa sana wawe usalama wa taifa matokeo yake wanakua usalama wa ccm kushika Dola bila kujali madhara na athari Kwa taifa!!
Kuna mambo ya kijinga sana aiseh!!
R.i.pNi upumbavu tuliorothishwa na majasusi was nchi hii na unatumaliza!
Majasusi wa nchi wanaamini bila ccm nchi itakufa yaani ccm ndio Mungu watanzania!Bora watz wapoteze uhai lakini CCM ishike dola!
Moja kati ya Imani ya kijinga sana aiseh!
Binafsi naamini ccm ingekua chama Bora kama kingepokezana madaraka ,tungepata nafasi ya kuondoa wazembe ndani ya chama baada ya kupoteza Dola kwa chama kingine Kwa walau vipindi viwili,akili zingekaa sawa!!Mafisadi wasingekitumia chama kama mtaji wao coz hakuna uhakika wa kushika dola Kila chaguzi na heshima ingekuwepo Kwa wananchi lakini huu ujinga uliopo ndio umesababisha vyombo kuzika miili ya watu Kwa malundo kama wanazika wanyama na tumeaibika!!
Uchawi,makafara yanatuumuza sana!