Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini

Ccm huwa wananikera sana wanavyoiba kura ila washinde uchaguzi LAKINI nakuomba gombea uongozi pale NAKATAA NDOA nitaiba kura kwa ajili Yako.
 
Kwanini uwe provider kwa mwanamke ambae ana access zote za kutafuta hela kama wewe?, jukumu la baba ake ni lipi?
Boss

Twende mbele na kurudi huwezi kabisa kukwepa kumpa hela mwanamke hata kwa kiasi fulani,hiyo iko hivyo,sema usitumie sana kupitiliza

Lakini ukisema eti huwezi kuprovide hapo hakuna uhalisia utakuwa unawachekesha watu wazima wenzako
 
mahusiano yenu yataenda kwa namna ambavyo ulimpata. Ukimpata mwanamke kibiashara na mahusiano yenu yataenda kibiashara.

Kwaiyo kuwezekana au kutowezekana kutatokana na namna wewe mwenyewe umefanya vetting yako pale mwanzo kabisa
 
Si nia yangu kubishana na wewe lkn huwezi kutudanganya watu wazima wenzako kwamba eti huwezi kuprovide kabisa kwa mwanamke huo ni uongo period
 
Kati ya mimi na wewe ni nani anaebishana? Hapo juu nimekuuliza swali rahisi kabisa, kwanini uwe provider kwa mwanamke ambae ana access zote za kutafuta hela, umeshindwa kujibu.

Umejificha kwenye kichaka cha kutoa hela because you don't have game.
 
mahusiano yenu yataenda kwa namna ambavyo ulimpata. Ukimpata mwanamke kibiashara na mahusiano yenu yataenda kibiashara.

Kwaiyo kuwezekana au kutowezekana kutatokana na namna wewe mwenyewe umefanya vetting yako pale mwanzo kabisa
Kutompa kabisa hela mwanamke hiyo haiwezekani kabisa na hapo hayawezi kuwa ni mahusiano, the way unavyomudumia ndio unapata mamlaka ya kumcontrol labda useme uhumudumie kulingana na uwezo wako hapo nitakuunga au unasemaje Etugrul Bey
 
Kati ya mimi na wewe ni nani anaebishana? Hapo juu nimekuuliza swali rahisi kabisa, kwanini uwe provider kwa mwanamke ambae ana access zote za kutafuta hela, umeshindwa kujibu.

Umejificha kwenye kichaka cha kutoa hela because you don't have game.
Naona nikuache unaleta utoto kwenye mambo serious

Asante
 
Kutompa kabisa hela mwanamke hiyo haiwezekani kabisa na hapo hayawezi kuwa ni mahusiano, the way unavyomudumia ndio unapata mamlaka ya kumcontrol labda useme uhumudumie kulingana na uwezo wako hapo nitakuunga au unasemaje Etugrul Bey
Upo sahihi kabisa boss
Hata mwanamke ukimhudumua anahisi unampenda,na hali halisi iko hivyo mwanaume ataprovide kwa mwanamke

Ata jogoo tu smtm utamuoana anaona chakula anamuita tetea wake,hata ndege wa kiume wanapendwa kwa kutengeneza kiota kizur,hata simba atamiliki majike mengi kwa utawala wake

Kwa kifupi lazima kuwe na namna fulani ya security kwa jinsia ya kike,yaweza kuwa ulinzi,hela,mamlaka na kadhalika
 
Ila wanawake Mungu anawaona ,kuna jiran yetu mmoja enzi hizo wakati tunaishi oysterbay,alihama kwake oysterbay na kwenda kuishi msasani na kuacha familia

Omba tu usikamatwe na mwanamke
Alihama kisa nn mkuu?
 
Kutompa kabisa hela mwanamke hiyo haiwezekani kabisa na hapo hayawezi kuwa ni mahusiano, the way unavyomudumia ndio unapata mamlaka ya kumcontrol labda useme uhumudumie kulingana na uwezo wako hapo nitakuunga au unasemaje Etugrul Bey
Upo sahihi kabisa boss
Hata mwanamke ukimhudumua anahisi unampenda,na halisi iko mwanaume ataprovide kwa mwanamke

Ata jogoo tu smtm utamuoana anaona chakula anamuita tetea wake,hata ndege wa kiume wanapendwa kwa kutengeneza kiota kizur,hata simba atamiliki majike mengi kwa utawala wake

Kwa kifupi lazima kuwe na namna fulani ya security kwa jinsia ya kike,yaweza kuwa ulinzi,hela,mamlaka na kadhali
Next time ukiingia kwenye mjadala akikisha una hoja za utetezi wako sio unakuja na delutional stereotype tu. This is home home of great thinkers
Sawa boss chukua medali wewe
 
Security haitolewi kwa sababu wewe ni mwanaume na yeye ni mwanamke lazima kuwe na conditions. Jinsia ya kike sio ulemavu.
 
Hivi unajua kinachokupa mamlaka ya kumtawala mwanamke ni nini?

Ni usimamizi juu yake,kumhudumia,kumuongoza na kuhakikisha upo pale kwa ajili yake

Na labda nikufahamishe kitu kimoja ,mwanamke hajaumbwa kuhudumia bali kuhudumiwa,ukilijua hili nadhan itakusaidia kidogo

Utaeleweka endapo utasema mwanamke nae achangie kidogo baadhi ya mambo lkn huwezi kukwepa kumhudumia mwanamke kabisa,ni kujidanganya
 
Sahihi Kabisa, ila kuna wengine wanapoteza pesa zao kwenye pombe na Siyo wanawake, wengine kula, mwengine kununua vitu vya gharama etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…