Bora usome Advance kwanza ukienda Diploma utasoma muda wowote

Wote washamba wewe ambaye hukuwa unakariri umefanya gunduzi gani mpaka Leo hii?
 
A level ni kwa wenye akili tyuu, hawa wwngine haiwahusuu.
 
Kwenda advance kwa sasa ni kupoteza muda haina maana yeyote sijui lengo lake ni nini??? Unaenda kupoteza miaka 2 bure wakati aliyetoka form 4 ameenda diploma chukulia electrical engineering anachukua basic salary huko veta 800k wewe na akili zako umepita advance unaenda degree ya ualimu unakuja kuchukua 750k pamoja na makato ya hslb! Upuzi mtupu! Leo hii angalia madreva tu jinsi wanavyopata mapadiem ya kumwaga ambao kimsingi ni form 4 failure lakini hela wanayokunja mwisho wa mwezi yamkini wewe uliyemaliza degree yako humufikii!! Maisha hayana fomula!! Tuache madharau na kujifunia akili!!
 
Kwanza kabisa Chemistry nilikua siipendi naturally ikifuatiwa na biology, pili kwenye field yangu sijawahi kukutana na changamoto inayohitaji nitumie concept za chemistry, Shule zenyewe ndio hizi asante kayumba Practical mnafanya maramoja kwa mwezi then siku ya pepa la mock/taifa mnamuhonga mwalimu pesa awape maswali ya Practical??!! huko kama sio kupoteza muda ni nini??

Waafrika inabidi tubadilike, kukariri mambo mengi sio sifa, jua vitu vichache kwa ufasaha bado utakuwa productive tu. Inapaswa tutambue kadiri unavyopanda kwenye elimu ndio unavyozidi kuitengeneza career yako na ndivyo unavyozidi ku specialize, sijawahi kukuta mtu ame specialize kwenye field inayomuhitaji ajue Physics, Chemistry & Mathematics at once, japo anaweza kuwa na general knowledge kwenye kila somo mojawapo hapo, na hapo ndio inakuja concept ya kutegemeana katika kazi, hata huko NASA hakuna manguli wa kila Jambo kwenye sayansi
 
Akijibu nitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…