Bora usome Advance kwanza ukienda Diploma utasoma muda wowote

Bora usome Advance kwanza ukienda Diploma utasoma muda wowote

qualification-2b.jpg
 
Wakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri.

Mimi naomba ni washauri kama unataka kufanya makubwa nenda advance ila kama unataka elimu ya tia maji Ili uajiliwe nenda tia maji.
Wote washamba wewe ambaye hukuwa unakariri umefanya gunduzi gani mpaka Leo hii?
 
Mimi nimepitia advance (PCM) lakini siwezi kumshauri mtu apitie huko, labda kama anahitaji sifa na kupoteza muda. Mimi nilipita huko kwa sababu sikuwa na taarifa sahihi, na pia nilishuhudia wengi ambao ndoto zao za elimu ya juu zilizimwa kwa sababu ya ubovu wa matokeo yao ya A level
A level ni kwa wenye akili tyuu, hawa wwngine haiwahusuu.
 
Kwenda advance kwa sasa ni kupoteza muda haina maana yeyote sijui lengo lake ni nini??? Unaenda kupoteza miaka 2 bure wakati aliyetoka form 4 ameenda diploma chukulia electrical engineering anachukua basic salary huko veta 800k wewe na akili zako umepita advance unaenda degree ya ualimu unakuja kuchukua 750k pamoja na makato ya hslb! Upuzi mtupu! Leo hii angalia madreva tu jinsi wanavyopata mapadiem ya kumwaga ambao kimsingi ni form 4 failure lakini hela wanayokunja mwisho wa mwezi yamkini wewe uliyemaliza degree yako humufikii!! Maisha hayana fomula!! Tuache madharau na kujifunia akili!!
 
Mkuu nimekuchallenge tu. Hivi inamaana kweli Yale mambo ya sijui

Electricity, electromagnetism, electronics, telecommunication, modern physics, mechanics, heat

Kwenye kemia. Sijui organic, inorganic, physical chemistry

Yote haya hayana maana na nikupoteza mda au ni sisi ndo tunashindwa kuyatumia

Hivi wote wanaotengeneza vitu si waana apply haya mambo hivi yanakuwaje hayana maana yaanakuwaje kuwa ni kupoteza muda aisee nashandi kuwaelewa

Mkuu just rethink
Kwanza kabisa Chemistry nilikua siipendi naturally ikifuatiwa na biology, pili kwenye field yangu sijawahi kukutana na changamoto inayohitaji nitumie concept za chemistry, Shule zenyewe ndio hizi asante kayumba Practical mnafanya maramoja kwa mwezi then siku ya pepa la mock/taifa mnamuhonga mwalimu pesa awape maswali ya Practical??!! huko kama sio kupoteza muda ni nini??

Waafrika inabidi tubadilike, kukariri mambo mengi sio sifa, jua vitu vichache kwa ufasaha bado utakuwa productive tu. Inapaswa tutambue kadiri unavyopanda kwenye elimu ndio unavyozidi kuitengeneza career yako na ndivyo unavyozidi ku specialize, sijawahi kukuta mtu ame specialize kwenye field inayomuhitaji ajue Physics, Chemistry & Mathematics at once, japo anaweza kuwa na general knowledge kwenye kila somo mojawapo hapo, na hapo ndio inakuja concept ya kutegemeana katika kazi, hata huko NASA hakuna manguli wa kila Jambo kwenye sayansi
 
Application ndio wewe, ukitoka form 6 hujui chochote kinachondelea iwe engineering au accounting
Unadhani kazini mteja atakata mchongee au umfingie mfumo wa kirchoff law au upange makabati end of year tax
Twende kwenye fani yangu engineering, naona unaongelea electrical halafu baadae tutaenda kwenye mechanical, hapa ni kikazi tu
Mteja anataka kufungiwa Three phase motor iendeshe mtambo unaohitaji umeme mwingi (kwanini?) katika kuanza mzunguko na baadae ikisha changaya ibadilishe na kutumia umeme wa kawaida , au vice versa yaani iianze na umeme mdogo ikichanganya iunge kwenye umeme mkubwa(yaani drawing more currents) niifunge kwa mtindo upi na kutumia vifaa gani ?
Akijibu nitag
 
Back
Top Bottom