Bora usome Advance kwanza ukienda Diploma utasoma muda wowote

Nianze maisha mara ngapi? mwaka wa nne huu niko mtaani unatakaa kuniambia nini? Hafu naomba uniambie adv math inautofauti Gani na eng math maana wale madogo wa diploma walikua wanasoma adv math iliyopunguzwa makali na Mimi ndo nilikua nawapashia.

Unanichekesha kweli yaani nimepoteza mda kusoma sayansi kitu ambacho kinanizunguka kwamba naweza kukiapply Kwa namna Moja au nyingine mda wowote ninapohitaji. Hafu kusoma diploma/degree ya eng za mitambo ambayo siwezi hata kuimiliki na ujenzi wa maghorofa La floor 200 wakati kibongo bongo hata floor 10 ni mtihani kuiyona ndio kuwe ni kuokoa muda kweli wewe hopeless

Itakua ni serikali ya kipumbavu kuwasikiliza wapumbavu. Kwani A level ipo Tz tuu? . A level ipo UK, India na USA wametengeneza equivalent iitwayo A.P na Australia wametengeneza equivalent iitwayo I.B ambazo zote zinalingana na A level.

Ina elekea hata maana ya engineering na technology hujui. Mm nijuavyo technology ni primary application ya sanyansi. Pia engineering ni application ya sanyansi na math. Sasa utakua ni mpumbavu kuwashauri hao watz na waafrika wenzako waachane na Sanyansi wa focus kwenye engineering na technology sana. Mwisho wa siku waana ishi kua maoperator na warekebishaji wa bidhaa za mzungu.
 
Tuishie hapo tu umeshinda kombe . I'm wasting my energy for nothing.
 
Mods ikiwezekana anzisheni jukwaa kabisa la A-level Vs Diploma

Anyway, mimi nilipotoka form four nilienda moja kwa moja degree. Nimesoma enzi zile ukiwa na akili unarushwa kutoka darasa la pili hadi la tano.

Anyway no 2, Ningekuwa mod wa jf ningewalamba ban waliopita diploma wote
 
Kwa maana yako kusoma academic subjects ni kupoteza mda. Basi tufute o-level na primary maana kote huko tunamezeshwa ma theory tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…