Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
- Thread starter
- #101
Nianze maisha mara ngapi? mwaka wa nne huu niko mtaani unatakaa kuniambia nini? Hafu naomba uniambie adv math inautofauti Gani na eng math maana wale madogo wa diploma walikua wanasoma adv math iliyopunguzwa makali na Mimi ndo nilikua nawapashia.Ile adv math ya high school ndio eng mathematics ? Unaelewa maana ya eng maths. Wewe ni INJINIA GANI, hujui kabisa kwamba injia lazima asome injinia maths.
Vyovyote iwavyo wewe mtu wa form six umepoteza 2years ukisoma academic subjects ambazo mda mmwngine ni useles.
Imagine unasoma pcm halafu unaenda kusoma software devpnt hio kemia inabaki uchafu kichwani kwako.
Wewe kama kjana ulitakiwa uwe dira ya ku shape future ya vijana ila bado unapalilia mambo ya kale yasio kuwa na tija kwa kijana w leo.
IPO SIKU UTAJUA JINSI MDA WAKO ULIVYOTUMIKA VIBAYA, maliza kwanza chuo anza maisha.
Kwa taarifa:
Serikali imeanza kusikiliza wananchi na huo mfumo unaoupigia CHAPUO seriksli inaenda kuuufuta. Mtaala mpya umejikita ktk fani za mtu sio kusoma kiholela kama zamani. Nasisitiza jamii iendelee kudai kitu kinachowafaa na si kufuata mifumo ya wakoloni.
Ni mda sasa wa MWAFRIKA NA MTANZANIA KUAMKA NA KUFANYA YANAYOMPENDEZA SI YANAYOWAPENDEZA.
Decolinization of education system ni vita inayoendelea kupiganwa na wanaharakati wanaopigania utu wa mtu mweusi duniani, japo upinzani upo ndani ya mtu mweusi mwenyewe. One day Africa will be free in every aspect.
Unanichekesha kweli yaani nimepoteza mda kusoma sayansi kitu ambacho kinanizunguka kwamba naweza kukiapply Kwa namna Moja au nyingine mda wowote ninapohitaji. Hafu kusoma diploma/degree ya eng za mitambo ambayo siwezi hata kuimiliki na ujenzi wa maghorofa La floor 200 wakati kibongo bongo hata floor 10 ni mtihani kuiyona ndio kuwe ni kuokoa muda kweli wewe hopeless
Itakua ni serikali ya kipumbavu kuwasikiliza wapumbavu. Kwani A level ipo Tz tuu? . A level ipo UK, India na USA wametengeneza equivalent iitwayo A.P na Australia wametengeneza equivalent iitwayo I.B ambazo zote zinalingana na A level.
Ina elekea hata maana ya engineering na technology hujui. Mm nijuavyo technology ni primary application ya sanyansi. Pia engineering ni application ya sanyansi na math. Sasa utakua ni mpumbavu kuwashauri hao watz na waafrika wenzako waachane na Sanyansi wa focus kwenye engineering na technology sana. Mwisho wa siku waana ishi kua maoperator na warekebishaji wa bidhaa za mzungu.