A
Anonymous
Guest
Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya Mbinguni ili Mungu ainue Watu Duniani watutetee.
Pia soma ~ Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia Huduma za Ardhi ofisini kwake laanza kutekelezwa Dodoma