labda wale karithmatiki katoliki wanamafundisho ya kipentekoste, wanashusha mapambio, wanaabudu kipentekoste ila sijui kama wanamkiri roho mtakatifu na kazi zakeUbalikiwe sana mtumish TAG ni hatari sana Kuna vijana wana nguvu za kiroho mpaka unaogopa, wanamjua MUNGU na MUNGU anawajua
Lakin usiwadharau Tanzania CATHOLIC wako vizur ile mbaya au kwakuwa una waona wako wengi ndo maana huna iman nao
Kwahiyo MORAVIAN hawa mkiri roho mtakatifu na kazi zakelabda wale karithmatiki katoliki wanamafundisho ya kipentekoste, wanashusha mapambio, wanaabudu kipentekoste ila sijui kama wanamkiri roho mtakatifu na kazi zake
Jifunze kuheshimu imani za wengine utabalikiwa.hapo kanisa la kusali ni TAG tu, hayo mengine ni abrakadabra tu, katholic tanzania ndio hamna kitu. watu wanataka makanisa ya kuwajenga kiroho wakue na sio makanisa yenye mafundisho yaleyale kila mwaka. kwa manabii ndio utopolo mtupu hawafundishi kuukulia wokovu
Hata wanaovunja ndoa takatifu kwasababu wanampenda yeye anawapokea!😄😄😄😄Anawapa pia wamama wanaochora tattoo
Anajiona kashakata tiketi ya mbinguni.Kwahiyo MORAVIAN hawa mkiri roho mtakatifu na kazi zake
Kwahiyo kumbe wewe kipimo cha kusali ni kupiga kelele?
Huyu ana changamoto katika kuyatizama mambo ya kiimanAnajiona kashakata tiketi ya mbinguni.
Ushamba unamsumbuaHuyu ana changamoto katika kuyatizama mambo ya kiiman
Ndo wale watu ambao unakuta tiari kashajua akina nani wataenda motoni na akina nani wataenda mbingunUshamba unamsumbua
kama wamepotea huko wanakoabudu ni giza why wasiambiwe watoke gizani kuja nuruni? Heshima ni kuwaambia mlipo ni gizani tokeni hukoJifunze kuheshimu imani za wengine utabalikiwa.
Wacha wee !😃😃😃kama wamepotea huko wanakoabudu ni giza why wasiambiwe watoke gizani kuja nuruni? Heshima ni kuwaambia mlipo ni gizani tokeni huko
Huyu jamaa watu wote anaowapa magari na pesa huwa wanapoteana sijui huwa anabeba nyotaAnachukua zenu safi, anawapa zake chafu.
kelele gani? Moravian, aic, kkkt, anglican hao ni wamoja mafundisho yao yanafanana na wavaa majoho viongozi wao wawapo madhabahuni. Hao ndio CCT ukisikia, ndio umoja waoKwahiyo MORAVIAN hawa mkiri roho mtakatifu na kazi zake
Kwahiyo kumbe wewe kipimo cha kusali ni kupiga kelele?
naona umekwazika kwa kugusa imani yako, povu linaanza kukutokaJifunze kuheshimu imani za wengine utabalikiwa.
Kweli pesa ya bure, sasa anzisha na wewe upige pesaMwongo. Kanisani hakuna kodi, kanisani hakuna audit, kanisani hakuna kusoma mapato na matumizi!
Pale kwa Mwaposa nani anasoma mapato na matumizi!
Kanisa ni free lunch aisee. Tena makanisa siku hizi wenye makanisa hawaubiri, wanaalika wahubiri wengine wao wanakuwa wenyeji tuu, mwishoni wanagawana sadaka.
SijuiKkkt wanapigaje
Kweli pesa ya bure, sasa anzisha na wewe upige pesa
Habagui ukitetea hoja Yako Uwe mtt wa mama mdogo au mkubwa anakupa Uwe wa shangazi au mjomba... Muslims or HinduismAnawapa pia wamama wanaochora tattoo
Hakuna Mkuu nifiche Ili iweje kwamfano hahaaaaaaUshalamba asali wewe
hao watu 500 unawatoa wapi? kuna Pasta ana struggle mwaka wa tatu huu anasali yeye na familia yake na familia ya jiraniNaanzisha chechi jameni. Fikiria una watu 500 wanakupa buku buku kila siku!