LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
labda wale karithmatiki katoliki wanamafundisho ya kipentekoste, wanashusha mapambio, wanaabudu kipentekoste ila sijui kama wanamkiri roho mtakatifu na kazi zakeUbalikiwe sana mtumish TAG ni hatari sana Kuna vijana wana nguvu za kiroho mpaka unaogopa, wanamjua MUNGU na MUNGU anawajua
Lakin usiwadharau Tanzania CATHOLIC wako vizur ile mbaya au kwakuwa una waona wako wengi ndo maana huna iman nao