lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
- Thread starter
-
- #41
Mkuu sio kwamba nawatetea ila hata neno liwe Moja kikubwa ni chakula Cha kiroho sema tu kiukweli Kuna uletaji uliopooza Fulani hivi... Wa hiyo injili ila Kuna charismatic huko hao ni walokole wa kikatoliki.wanajenga makanisa majengo makubwa lakini mafundisho yao ni duni, ni ya kiluturujia nchi nzima mstari wa kusomwa ni uleule makanisa yao yote waumini wanatoka ibadani wakavu kiroho
Wanamkiri mkuulabda wale karithmatiki katoliki wanamafundisho ya kipentekoste, wanashusha mapambio, wanaabudu kipentekoste ila sijui kama wanamkiri roho mtakatifu na kazi zake
Mkuu niitebasi niwe katibu wa Mweka hazina... HaaaaaNaanzisha mwakani. Nafuatilia usajili na kuandaa bodi ya wadhamini, jengo ninalo. [emoji16]
Wanayo sababu ambayo wewe hujui.Hivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?
Makanisa ya kusali si yapo jaman
Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN
hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
Wameambiwa wakule madhabahuni mkuuChakula cha Mungu ni sala, na chakula cha binadamu ni hela (sadaka); mtu anayehimiza sana kutoa jua anapambania pato lake.
Baada ya manabii kuja na kuanza kupiga pesa hayo makanisa uliyoyataja hapo nao wakaanza kupiga pesa vile vile zamani hawakuwa hivyo, sijui tukasali makanisa ganiHivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?
Makanisa ya kusali si yapo jaman
Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN
hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
Waache kelele, maombezi hayatupi fedha za kigeni, tunatakiwa tuzalishe bidhaa tuuze njeWameambiwa wakule madhabahuni mkuu
Kwani na ninyi ni nani aliyewaambia makanisa ya kusali ni hayo hayo ya mkoloni pekee?? Yaani kanisa lililoanzishwa na wahunu waliobaka na kuharibu maisha ya babu zako ndio uyakubali?.Hivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?
Makanisa ya kusali si yapo jaman
Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN
hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
YOHANA 4: wamwabuduo watamwabudu katika roho na kweliBaada ya manabii kuja na kuanza kupiga pesa hayo makanisa uliyoyataja hapo nao wakaanza kupiga pesa vile vile zamani hawakuwa hivyo, sijui tukasali makanisa gani
Huo ni ukwl kabisa mkuu.... Mradi isiwe dini ya kuhimiza watu kufanya dhambi otherwise heshimu heshimu heshimuHakuna aliye na uhakika kuwa alipo ni sahihi,watu waache kuhukumiana maana hata biblia inakataza kuhukumu wengne!
maana kuna watu washajivika utakatifu wa kuhukumu wengne kuwa wanapotea ili hali wao pia wanasali dini zilizoletwa na wakolon wa kizungu na kiarabu ambao waliwatesa na kuwaua maelfu kwa malak wa babu ze2!pathetic kabisaHuo ni ukwl kabisa mkuu.... Mradi isiwe dini ya kuhimiza watu kufanya dhambi otherwise heshimu heshimu heshimu
Kwa nini unaingilia uhuru wa mtu kwenda kuabudu anapotaka yeye?Hivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?
Makanisa ya kusali si yapo jaman
Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN
hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
Hahaha noma kidogo kawa Hanjana?Masanja kasema biashara ya kanisa haina Pesa, kaacha karudi kwenye comedy sasa
Nabii hathaminiki kwao kwahio unaona weusi wenzako wanafaidi sio!?Hivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?
Makanisa ya kusali si yapo jaman
Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN
hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
Inashangaza mtu Hali yule mbuzi wa catholic ila ni mzinifu balaa halafu eti anasimama kushangaa na kusema Huyo mbuzi ni dhambi..... Che...maana kuna watu washajivika utakatifu wa kuhukumu wengne kuwa wanapotea ili hali wao pia wanasali dini zilizoletwa na wakolon wa kizungu na kiarabu ambao waliwatesa na kuwaua maelfu kwa malak wa babu ze2!pathetic kabisa
makaririsho ni mabaya sana yaani!!Inashangaza mtu Hali yule mbuzi wa catholic ila ni mzinifu balaa halafu eti anasimama kushangaa na kusema Huyo mbuzi ni dhambi..... Che...
Nipe namba zao wanisaidie aiseeUbalikiwe sana mtumish TAG ni hatari sana Kuna vijana wana nguvu za kiroho mpaka unaogopa, wanamjua MUNGU na MUNGU anawajua
Lakin usiwadharau Tanzania CATHOLIC wako vizur ile mbaya au kwakuwa una waona wako wengi ndo maana huna iman nao