lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
- Thread starter
- #41
Mkuu sio kwamba nawatetea ila hata neno liwe Moja kikubwa ni chakula Cha kiroho sema tu kiukweli Kuna uletaji uliopooza Fulani hivi... Wa hiyo injili ila Kuna charismatic huko hao ni walokole wa kikatoliki.wanajenga makanisa majengo makubwa lakini mafundisho yao ni duni, ni ya kiluturujia nchi nzima mstari wa kusomwa ni uleule makanisa yao yote waumini wanatoka ibadani wakavu kiroho