Bora ya George Davie

Bora ya George Davie

wanajenga makanisa majengo makubwa lakini mafundisho yao ni duni, ni ya kiluturujia nchi nzima mstari wa kusomwa ni uleule makanisa yao yote waumini wanatoka ibadani wakavu kiroho
Mkuu sio kwamba nawatetea ila hata neno liwe Moja kikubwa ni chakula Cha kiroho sema tu kiukweli Kuna uletaji uliopooza Fulani hivi... Wa hiyo injili ila Kuna charismatic huko hao ni walokole wa kikatoliki.
 
Hivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?

Makanisa ya kusali si yapo jaman

Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN

hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
Wanayo sababu ambayo wewe hujui.
 
Hivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?

Makanisa ya kusali si yapo jaman

Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN

hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
Baada ya manabii kuja na kuanza kupiga pesa hayo makanisa uliyoyataja hapo nao wakaanza kupiga pesa vile vile zamani hawakuwa hivyo, sijui tukasali makanisa gani
 
Kwani na ninyi ni nani aliyewaambia makanisa ya kusali ni hayo hayo ya mkoloni pekee?? Yaani kanisa lililoanzishwa na wahunu waliobaka na kuharibu maisha ya babu zako ndio uyakubali?.

Anyway Kila mtu ana uhuru wa kuabudu akitakacho, ninyi wafia dini msipende kuhukumu wasiofuata misingi ya imani zenu
 
Baada ya manabii kuja na kuanza kupiga pesa hayo makanisa uliyoyataja hapo nao wakaanza kupiga pesa vile vile zamani hawakuwa hivyo, sijui tukasali makanisa gani
YOHANA 4: wamwabuduo watamwabudu katika roho na kweli
 
Hakuna aliye na uhakika kuwa alipo ni sahihi,watu waache kuhukumiana maana hata biblia inakataza kuhukumu wengne!
 
Huo ni ukwl kabisa mkuu.... Mradi isiwe dini ya kuhimiza watu kufanya dhambi otherwise heshimu heshimu heshimu
 
maana kuna watu washajivika utakatifu wa kuhukumu wengne kuwa wanapotea ili hali wao pia wanasali dini zilizoletwa na wakolon wa kizungu na kiarabu ambao waliwatesa na kuwaua maelfu kwa malak wa babu ze2!pathetic kabisa
 
Hivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?

Makanisa ya kusali si yapo jaman

Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN

hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
Kwa nini unaingilia uhuru wa mtu kwenda kuabudu anapotaka yeye?
 
Hivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?

Makanisa ya kusali si yapo jaman

Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN

hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
Nabii hathaminiki kwao kwahio unaona weusi wenzako wanafaidi sio!?
 
maana kuna watu washajivika utakatifu wa kuhukumu wengne kuwa wanapotea ili hali wao pia wanasali dini zilizoletwa na wakolon wa kizungu na kiarabu ambao waliwatesa na kuwaua maelfu kwa malak wa babu ze2!pathetic kabisa
Inashangaza mtu Hali yule mbuzi wa catholic ila ni mzinifu balaa halafu eti anasimama kushangaa na kusema Huyo mbuzi ni dhambi..... Che...
 
Ubalikiwe sana mtumish TAG ni hatari sana Kuna vijana wana nguvu za kiroho mpaka unaogopa, wanamjua MUNGU na MUNGU anawajua

Lakin usiwadharau Tanzania CATHOLIC wako vizur ile mbaya au kwakuwa una waona wako wengi ndo maana huna iman nao
Nipe namba zao wanisaidie aisee
 
Back
Top Bottom